‘Mfumo wa taarifa za magonjwa ya kuambukiza Afrika ni hafifu’
FUMO duni wa upatikanaji wa taarifa zinazohusu milipuko ya magonjwa ya kuambukiza kwa binadamu na wanyama katika nchi za Afrika umetajwa kuwa moja ya sababu kuu zinazochangia ongezeko la idadi ya vifo kutokana na mfumo huo kuchelewesha ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa hayo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog17 Sep
Nchi za Afrika zimeaswa kuimarisha mawasiliano katika utoaji wa taarifa zinazohusiana na magonjwa ya mafua makali
Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchi Kenya, Dkt. Custodia Mandlhate akitoa hotuba ya ufunguzi wa semina ya inayohusu namna ya kuimarisha mawasiliano na utoaji wa taarifa sahihi zinazohusiana na magonjwa ya mafua makali katika ukanda wa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa siku tatu unaoendelea jijini Nairobi.
Baadhi ya washiriki wa semina ya inayohusu namna ya kuimarisha mawasiliano na utoaji wa taarifa sahihi zinazohusiana na magonjwa ya mafua makali katika ukanda wa nchi...
10 years ago
Dewji Blog25 Apr
Hospitali ya Apollo kuendesha kliniki ya ushauri wa magonjwa ya goti, nyonga, bega na mfumo wa fahamu Dar
Kufuatia idadi kubwa ya Watanzania ambao mara kwa mara husafiri kwenda India kwa sababu tofauti tofauti za kimatibabu, wataalamu kutoka Hospitali ya Apollo, Hyderabad, wamefikia uamuzi wa kutoa tiba na ushauri wa kitaalamu kwa Watanzania kupitia kiliniki maalumu ya siku mbili itakayofanyika Dar es Salaam. Kliniki hii maalum itaendeshwa na mtaalamu wa upasuaji wa mfumo wa fahamu, Dkt Alok Ranjan na mtaalamu wa upasuaji wa mifupa, Dkt Somasekhar Reddy katika hospitali ya Hindu Mandal tarehe...
9 years ago
MichuziMtaalamu wa Upasuaji wa Uti wa Mgongo na Magonjwa ya Mfumo wa Fahamu kutoka Hospitali za Apollo kuendesha huduma Dar
Tanzania ni moja ya nchi ambazo ina uhaba mkubwa wa madaktari bingwa wa mfumo wa fahamu kitendo kinachopelekea nchi kupoteza fedha nyingi kwa kuwapeleka wagonjwa wa matatizo ya aina hiyo nje ya nchi kupata matibabu na ushauri.
Inakadiriwa kuwa watoto wachanga 1000 kati 4000 wanaozaliwa na tatizo la mfumo wa fahamu hupatiwa matibabu huku wengine 3000 wakishindwa kupatiwa matibabu.
Kutokana na hali hiyo, Hospitali ya Apollo ya nchini India imemleta nchini daktari bingwa wa...
10 years ago
Mwananchi15 Dec
Simu kutumika taarifa za magonjwa ya mlipuko
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
MUWSA yaanzisha mfumo mpya kuhifadhi taarifa
MAMLAKA ya Majisafi na Majitaka Moshi (MUWSA) imeanzisha kitengo cha mfumo wa kijiografia (GIS) kitakachokuwa na jukumu la kukusanya taarifa za wateja wa maji na kuzihifadhi katika mfumo wa kielektroniki...
9 years ago
Global Publishers16 Dec
NMB yazindua mfumo wa kisasa wa taarifa za mikopo
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc Ineke Bussemaker akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa za mikopo uliozinduliwa na Benki hiyo. Mfumo huo utatutumika kwenye kanzi data ya Mikopo ya Benki hiyo ( CRB’s) kwa lengo la kuwawezesha wateja wakubwa na wadogo wa wanaoomba mikopo kuipata ndani ya siku 1 hadi 4 .Afisa Mkuu Udhibiti wa Hasara wa Benki ya NMB Bw. Tom Borghols (wa pili kutoka kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari (hawapo...
10 years ago
MichuziBASATA YAANZISHA MFUMO WA KUHIFADHI TAARIFA ZA KUMBI ZA BURUDANI
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
Wizara ya Afya yazindua mfumo wa utunzaji wa taarifa wa ‘e-Health’ nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando akitoa hotuba yake ya kuzindua mfumo wa utunzaji wa taarifa za vituo vya afya vya Tanzania Bara jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando akionyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa mfumo wa utunzaji wa taarifa za vituo vya afya vya Tanzania Bara jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau wakiwa katika uzinduzio huo.(Magreth Kinabo – Maelezo).
Beatrice Lyimo- MAELEZO
Serikali...
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Mfumo wa malipo Afrika Mashariki wakamilikaÂ
MFUMO wa malipo utakaotumika baina ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ujulikanao kama East African Cross Border Payment System (EAPS) umekamilika. Hayo yalisemwa na Gavana wa Benki Kuu...