MFUMUKO WA BEI NCHINI WAENDELEA KUPUNGUA
![](http://api.ning.com:80/files/bco3t9J7*tRKEJMtHq7WAdC0BR4gZkMxApMyjISrHAUI9waHULRJ-KcsckL-en4x-wZ9lIuLQe2WtIzsN36BDqd9dtYjbNbY/Takwimu1.jpg?width=750)
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya kupungua kwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Desemba, 2014 leo jijini Dar es salaam.Wengine ni Meneja wa Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi hiyo Bi. Ruth Minja (kushoto) na Johnson Nyella, Meneja Utafiti wa Uchumi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Na. Aron Msigwa-MAELEZO. 8/1/2015.Dar es salaam.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog09 Jan
Mfumuko wa bei wa taifa waendelea kupungua
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya kupungua kwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Desemba, 2014 jana jijini Dar es salaam.Wengine ni Meneja wa Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi hiyo Bi. Ruth Minja (kushoto) na Johnson Nyella, Meneja Utafiti wa Uchumi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT).
Na Aron Msigwa-MAELEZO
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Desemba 2014 umepungua hadi kufikia asilimia 4.8 kutoka asilimia 5.8...
10 years ago
GPLOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YASEMA MFUMUKO WA BEI WA TAIFA KWA MWEZI JANUARI, 2015 UMEENDELEA KUPUNGUA KWA ASILIMIA 4.0
10 years ago
Mwananchi11 Aug
Mfumuko wa bei waongezeka nchini
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Mfumuko wa bei wapungua nchini
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--XCHZQkdebo/VDVOUgX_Y4I/AAAAAAAGouo/-OQLKojKOjQ/s72-c/unnamed.jpg)
MFUMUKO WA BEI NCHINI WAPUNGUA
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Septemba 2014 umepungua hadi kufikia asilimia 6.6 kutoka asilimia 6.7 iliyokuwepo mwezi Agosti kutokana na kupungua kwa bei ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Bw. Ephraim Kwesigabo amesema kuwa bidhaa za vyakula zikiwemo mchele, mahindi, ulezi, matunda, Sukari na vinywaji baridi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nLML9an*avr6*g5w-cFa3Ryd9bVlS2LCophqQugdiUXBhtPDX3F8BgVr*TiqOJ4jJr3QTiQKt7xAWXioWfjXXMi9qU*PSch-/NBS1.jpg)
MFUMUKO WA BEI NCHINI WAPUNGUA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A1Qs8*3Ts4y5MbNakwFdvULk1Tf*iNS8uDEegw7XcWkNzjk6PQ1Gc4K3N5m03Vw4DDCTqFh6yNzhimcC-yh15Mg6LtqhA71a/NBS1.jpg?width=650)
NBS YATOA TAARIFA YA MFUMUKO WA BEI NCHINI
11 years ago
Mwananchi09 Jul
Mfumuko wa bei nchini waporomoka, shilingi yapaa