Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfumuko wa bei nchini waporomoka, shilingi yapaa

>Mfumuko wa bei za bidhaa za vyakula kwa mwezi uliopita umepungua kwa kiasi kikubwa, huku thamani ya shilingi ikipanda.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bei ya Tanzanite nchini yapaa

Bei ya madini ya Tanzanite hapa nchini imepanda huku bei hiyo ikiporomoka katika soko la kimataifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mfumuko wa bei waongezeka nchini

Mfumuko wa bei umeongezeka na kufikia asilimia 6.4 kutoka mwezi uliopita tofauti na ilivyokuwa Juni asilimia 6.1.

 

10 years ago

Michuzi

MFUMUKO WA BEI NCHINI WAPUNGUA

Na. Aron Msigwa-MAELEZO.
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Septemba 2014 umepungua hadi kufikia asilimia 6.6 kutoka asilimia 6.7 iliyokuwepo mwezi Agosti kutokana na kupungua kwa bei ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Bw. Ephraim Kwesigabo amesema kuwa bidhaa za vyakula zikiwemo mchele, mahindi, ulezi, matunda, Sukari na vinywaji baridi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mfumuko wa bei wapungua nchini

Mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia Desemba mwaka jana umeshuka hadi kufikia asilimia 4.8 kutoka asilimia 5.8 ya Novemba kutokana na kupungua kwa bei za bidhaa mbalimbali ikielezwa kwamba kupungua huko kulikuwa hakujatokea kwa miaka miwili iliyopita.

 

10 years ago

GPL

MFUMUKO WA BEI NCHINI WAENDELEA KUPUNGUA

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya kupungua kwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Desemba, 2014 leo jijini Dar es salaam.Wengine ni Meneja wa Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi hiyo Bi. Ruth Minja (kushoto) na Johnson Nyella, Meneja Utafiti wa Uchumi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Na. Aron Msigwa-MAELEZO. 8/1/2015.Dar es salaam.… ...

 

10 years ago

GPL

MFUMUKO WA BEI NCHINI WAPUNGUA‏

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya kupungua kwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Januari, 2015 leo jijini Dar es salaam.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Januari, 2015  umepungua hadi kufikia asilimia 4.0 kutoka asilimia 4.8 ya mwezi Desemba, 2014 kutokana na kuendelea kupungua kwa kasi ya bei ya bidhaa...

 

10 years ago

GPL

NBS YATOA TAARIFA YA MFUMUKO WA BEI NCHINI

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Agosti, 2014 leo jijini Dar es salaam. Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2014 umeongezeka hadi kufikia asilimia 6.7 kutoka asilimia 6.5 iliyokuwepo mwezi Julai kutokana na kuendelea kupanda kwa bei ya baadhi ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali nchini. Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

Michuzi

MFUMUKO WA BEI NCHINI UMEPUNGUA - OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU.

Na Aron Msigwa – MAELEZO.Ofisi ya Taifa ya Takwimu imeeleza kuwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Juni 2014 umepungua ikilinganishwa na mwezi uliopita kutokana na kupungua kwa bei ya bidhaa na huduma za jamii katika maeneo mbalimbali.  Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na sensa ya Watu na Makazi Bw. Ephraim Kwesigabo amesema kuwa mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwezi Juni, 2014 umepungua na kufikia asilimia 6.4 kutoka asilimia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani