Mgambia atemwa Simba SC
![](http://api.ning.com:80/files/3pbaBKayUO99MRtq1zn3tcfRIihx01xjt28Q8xNRAairV9ZAikIHnkK-GItVqy1lOj1Ae4Qjk0Kto9FM6brLZWlaHxGIyfMk/GAMBIA.jpg)
Kiungo mshambuliaji, Mgambia, Omar Mboob. Na Hans Mloli UONGOZI wa Simba umeamua kuachana na harakati za kutaka kumsajili kiungo mshambuliaji, Mgambia, Omar Mboob ambaye alikuwa anafanya majaribio ya wiki mbili na kikosi hicho kwa kile kinachosemekana kuwa uongozi wa timu hiyo kwa sasa hautaki kumuacha mchezaji yeyote. Mboob ambaye alitua nchini wiki iliyopita akitokea Semgar FC ya nchini Gambia, alifanikiwa kuitumikia timu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Mgambia aahidi makubwa Simba
9 years ago
Habarileo16 Sep
Kocha atemwa kwa ‘vijeba’
KOCHA wa timu ya Temeke inayoshiriki mashindano ya Airtel Rising Stars, Abel Mtweve amefutwa katika michuano hiyo baada ya kutumia wachezaji waliozidi umri kwenye mashindano hayo ya ngazi ya Taifa chini ya umri wa miaka 17 yanayofanyika kwenye Uwanja wa Karume Dar es Salaam.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox4prSjNXCK6p1Wf*bjxK7PmpEBL554fucloH4Bldo9oB-gCISx*QMc1SyQhofO81MFlZ6CyiolCv*tCqbJGyh7r/bobani.jpg?width=650)
Boban atemwa rasmi Coastal Union
10 years ago
BBCSwahili25 Dec
Song atemwa katika kikosi cha Cameroon