Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha atemwa kwa ‘vijeba’

KOCHA wa timu ya Temeke inayoshiriki mashindano ya Airtel Rising Stars, Abel Mtweve amefutwa katika michuano hiyo baada ya kutumia wachezaji waliozidi umri kwenye mashindano hayo ya ngazi ya Taifa chini ya umri wa miaka 17 yanayofanyika kwenye Uwanja wa Karume Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Mgambia atemwa Simba SC

Kiungo mshambuliaji, Mgambia, Omar Mboob. Na Hans Mloli
UONGOZI wa Simba umeamua kuachana na harakati za kutaka kumsajili kiungo mshambuliaji, Mgambia, Omar Mboob ambaye alikuwa anafanya majaribio ya wiki mbili na kikosi hicho kwa kile kinachosemekana kuwa uongozi wa timu hiyo kwa sasa hautaki kumuacha mchezaji yeyote. Mboob ambaye alitua nchini wiki iliyopita akitokea Semgar FC ya nchini Gambia, alifanikiwa kuitumikia timu...

 

11 years ago

GPL

Boban atemwa rasmi Coastal Union

Haruna Moshi ‘Boban’. Na Lucy Mgina
UONGOZI wa Coastal Union umesema hautamuongeza mkataba mshambuliaji Haruna Moshi ‘Boban’ kutokana na kuwa na utovu wa nidhamu.   Akizungumza na Championi Jumatatu, Makamu Mwenyekiti wa Coastal, Steven Mnguto, alisema mpaka sasa mshambuliaji huyo hajaripoti kambini kuanza mazoezi na wenzake na hajatoa taarifa yoyote. Alisema kwa tabia ambayo ameionyesha ni ngumu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Song atemwa katika kikosi cha Cameroon

Volke Finke ametaja kikosi cha Cameroon chenye wachezaji 24 kitakachoshiriki katika mechi za Afrika nchini Equitorial Guinea.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kocha mpya wa Aston Villa, Remi Garde aanza kwa kipigo kutoka kwa Tottenham

Tighe-24

Kocha mpya wa Aston Villa, Mfaransa Remi Garde.

Na Rabi Hume

Kocha mpya wa Aston Villa, Mfaransa Remi Garde ameanza kwa kupokea kipigo katika mchezo wake wa kwanza akiwa kama meneja mpya wa klabu ya Aston Villa baada ya kupokea kipigo cha goli 3 kwa 1 kutoka kwa Totthenham Hotspur katika mchezo wa Ligu kuu ya nchini Wingereza uliochezwa katika uwanja wa White Hate Line.

Garde alipokea kipigo hicho akiwa jukwaani akiutazama mchezo huo ikiwa ni siku moja ya kwanza  baada ya kupewa mkataba wa...

 

10 years ago

Vijimambo

KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE

Kocha simba akimpa mkono kocha wa YangaHans ameshindwa kupeana mkono wa pongezi na kocha mwenzake kutokana na kikosi chake kukubali kupokea kichapo kutoka kwa wekundu wa msimbazi lakini katika hali ya kawaida mchezo ukimalizika makocha upeana mkono kama ishara ya kukubali matokeo (fair play) na kocha msaidizi wa yanga Boniface Mkwasa ametoa mkono huku akiwa ameangalia pembeni.Goran akimwambia basi samahani kwa kukufunga wewe nipe mkono tuBaada ya mchezo kocha aliwashukuru wachezaji wake kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha mashakani kwa kuwabagua wachezaji

Kocha wa klabu moja ya kandanda nchini Ufaransa anakabiliwa na shutuma kali kufuatia matamshi yake ya ubaguzi

 

10 years ago

GPL

DOKII AJIWEKA KWA KOCHA WA YANGA

mwandishi wetu/ijumaawikienda
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Ummy Wenslaus ‘Dokii’ ameanzisha urafiki wa karibu sana na Kocha wa Timu ya Yanga, Hans van der Pluijm, Raia wa Uholanzi. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Ummy Wenslaus ‘Dokii’ akiwa na kocha wa Yanga. Ukaribu wa Dokii na kocha huyo ulichipukia kwa kasi Januari, mwaka huu walipokutana katika Kombe la Mapinduzi, Zanzibar kisha kuzidi...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Yanga ajitetea kwa Tegete

Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amejitetea kwa uamuzi wake wa kumtoa mshambuliaji Jeryson Tegete na kumwingiza Hussein Javu wakati wa mechi dhidi ya Prisons.

 

10 years ago

GPL

Sylvestre Marsh: Kwa heri kocha

Kocha wa zamani wa Taifa Stars, Sylvestre Marsh. Na Martha Mboma
Dar es Salaam
INASIKITISHA, ni msiba mkubwa kwa wanafamilia wa soka hapa nchini ambao hakika umeacha pengo ambalo ni vigumu kuzibika kutokana na kifo cha kocha wa zamani wa Taifa Stars, Sylvestre Marsh. Alilazwa kwa mara nyingine tena mwaka huu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wiki mbili zilizopita akitokea Mwanza, baada ya hali yake kuwa mbaya mpaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani