Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mganga wa jadi afungwa

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, imemhukumu mganga wa kienyeji, Yahaya Michael (34) kifungo cha miaka saba jela baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa gari kwa njia ya udanganyifu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mganga wa jadi auawa

 Wimbi la mauaji ya kikatili Kanda ya Ziwa yanashamiri. Mkazi wa Kijiji cha Katente, Kata ya Igulwa, wilayani Bukombe, mkoani Geita, Mwavua Salum (48) ameuawa kwa kukatwa mapanga.

 

11 years ago

Habarileo

Aliyekufa na mganga wa jadi shimoni azikwa humohumo

KIKOSI cha uokoaji kimeshindwa kuupata mwili wa Zuberi Kaima (45) ambaye yeye pamoja na mganga wa jadi, Sophiani Khamis (60) walisadikiwa kufa kwa kukosa hewa kwenye shimo walilokuwa wakichimba dhahabu.

 

10 years ago

Mwananchi

Waganga wa jadi Moshi waonyana

Waganga wa jadi wanaotumia viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) ikiwa ni sehemu ya tiba, wametakiwa kutofanya hivyo kwa kuwa huo ni ukatili dhidi ya binadamu.

 

10 years ago

Mtanzania

Waganga 13 wa jadi watiwa mbaroni Katavi

NA WALTER MGULUCHUMA, KATAVI
JESHI la Polisi Mkoa wa Katavi, limewakamata waganga 13 wa jadi katika Tarafa ya Mamba, Wilaya ya Mlele, kwakudaiwa kufanya kazi hiyo bila vibali maalumu.
Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Katavi, Dhahiri Kidavashari, aliwaambia waandishi wa habari jana kwamba, waganga hao walikamatwa baada ya msako uliofanyika Machi 14 na 15 mwaka huu.
Pamoja na waganga hao kukamatwa, pia walipopekuliwa kwenye nyumba zao walikutwa na vitu mbalimbali wanavyovitumia kufanyia shughuli...

 

10 years ago

BBCSwahili

Pambano la watani wa jadi homa juu

Kuelekea mechi ya ligi kuu nchini Tanzania kati ya watani wa jadi , na mashabiki wapatao milioni 10 watakosa raha.

 

10 years ago

Habarileo

SMZ kuwapatia elimu wakunga wa jadi

WIZARA ya Afya imesema inathamini kazi inayofanywa na wakunga wa jadi katika kutoa huduma za kujifungua kwa kinamama majumbani na kusema inakusudia kuwapatia mafunzo zaidi ya kazi zao.

 

11 years ago

Mwananchi

Tusikubali kuipoteza michezo yetu ya jadi

Kutokana na umuhimu wa michezo kwa jamii katika kila kipindi cha historia ya binadamu, Watanzania nao pia walikuwa wakishiriki katika michezo mbalimbali katika makabila yao.

 

9 years ago

Habarileo

Matangazo ya waganga wa jadi yapigwa marufuku

SERIKALI imepiga marufuku matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuanzia jana. Aidha, wale wote wenye vibali wanatakiwa kuwasilisha vibali na matangazo hivyo katika Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala kwa ajili ya kuvifanyia mapitio upya.

 

10 years ago

Mtanzania

vibali vya waganga wa jadi kusitishwa Same

NA RODRICK MUSHI, SAME
SERIKALI wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro, imesema itafanya tathmini ya vibali vyote vya waganga wa jadi vilivyokwisha muda wake.
Pamoja na tathmini hiyo, pia uongozi utasimamisha kwa muda utoaji wa vibali vipya vya waganga wa jadi.
Taarifa hiyo ilitolewa jana na Katibu Tawala Wilaya ya Same, Mashauri Msangi alipozungumza kwenye maadhimisho ya siku ya ulemavu wa ubongo duniani.
“Tutafanya tathmini ya vibali na tutasimamisha vibali vipya bila hofu ya kurogwa kwa vile...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani