Mganga wa jadi auawa
 Wimbi la mauaji ya kikatili Kanda ya Ziwa yanashamiri. Mkazi wa Kijiji cha Katente, Kata ya Igulwa, wilayani Bukombe, mkoani Geita, Mwavua Salum (48) ameuawa kwa kukatwa mapanga.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo27 Jan
Mganga wa jadi afungwa
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, imemhukumu mganga wa kienyeji, Yahaya Michael (34) kifungo cha miaka saba jela baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa gari kwa njia ya udanganyifu.
11 years ago
Habarileo12 Jul
Aliyekufa na mganga wa jadi shimoni azikwa humohumo
KIKOSI cha uokoaji kimeshindwa kuupata mwili wa Zuberi Kaima (45) ambaye yeye pamoja na mganga wa jadi, Sophiani Khamis (60) walisadikiwa kufa kwa kukosa hewa kwenye shimo walilokuwa wakichimba dhahabu.
10 years ago
CloudsFM14 Aug
MGANGA WA KIENYEJI AUAWA KWA RISASI, MAPANGA
Watu wasiofahamika wamemvamia na kumuua mganga wa kienyeji, Salehe Garimoshi (65), mkazi wa Kijiji cha Milala wilayani Mpanda kwa kumpiga risasi kichwani kisha kuukatakata mwili wake kwa mapanga.
Taarifa kutoka eneo la tukio, zilizothibitishwa na Jeshi la Polisi zinadai kuwa baada ya mganga huyo kuvamiwa na watu hao, mmoja wao aliyekuwa na bunduki, alimfyatulia risasi kichwani kisha kuamuru wenzake wamkatekate kwa mapanga.
Kaimu kamanda wa polisi wa Mkoa wa Katavi, Focus Malengo alisema jana...
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Waganga wa jadi Moshi waonyana
10 years ago
Mtanzania08 Apr
vibali vya waganga wa jadi kusitishwa Same
NA RODRICK MUSHI, SAME
SERIKALI wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro, imesema itafanya tathmini ya vibali vyote vya waganga wa jadi vilivyokwisha muda wake.
Pamoja na tathmini hiyo, pia uongozi utasimamisha kwa muda utoaji wa vibali vipya vya waganga wa jadi.
Taarifa hiyo ilitolewa jana na Katibu Tawala Wilaya ya Same, Mashauri Msangi alipozungumza kwenye maadhimisho ya siku ya ulemavu wa ubongo duniani.
“Tutafanya tathmini ya vibali na tutasimamisha vibali vipya bila hofu ya kurogwa kwa vile...
10 years ago
BBCSwahili05 Mar
Pambano la watani wa jadi homa juu
11 years ago
Mwananchi03 Feb
Tusikubali kuipoteza michezo yetu ya jadi
9 years ago
Habarileo25 Dec
Matangazo ya waganga wa jadi yapigwa marufuku
SERIKALI imepiga marufuku matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuanzia jana. Aidha, wale wote wenye vibali wanatakiwa kuwasilisha vibali na matangazo hivyo katika Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala kwa ajili ya kuvifanyia mapitio upya.
10 years ago
Habarileo31 Jan
SMZ kuwapatia elimu wakunga wa jadi
WIZARA ya Afya imesema inathamini kazi inayofanywa na wakunga wa jadi katika kutoa huduma za kujifungua kwa kinamama majumbani na kusema inakusudia kuwapatia mafunzo zaidi ya kazi zao.