Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgeja atamba CCM ipo imara hakuna wa kuiyumbisha

>Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja amesema chama hicho kiko imara na kitaendelea hakuna mtu yeyote ndani na nje wa kukiyumbisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KINANA YADHIHIRISHA CCM BADO IPO IMARA MIKOA YA KUSINI


ZIARA YA KINANA MIKOA YA LINDI NA MTWARA YAINGIZA  WANACHAMA ZAIDI YA 40,000 CCM MKUTANO WA HADHARA MTWARA MJINIWakazi wa Mtwara mjini wakishangilia wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM ukiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mtwara mjini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa kazi ya CCM ni kuisimamia Serikali kutimiza wajibu wake kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Coastal Union ipo imara

Klabu ya Coastal Union imesema haitatetereka kama inavyodaiwa na baadhi ya wasiopenda maendeleo yake kwa kuwa ni kongwe na yenye mipango endelevu.

 

5 years ago

CCM Blog

TANZANIA IPO SALAMA HAKUNA UGONJWA WA CORONA

   Na Englibert Kayombo, WAMJW, Arusha.Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewahakikisha Watanzania kuwa nchi bado iko salama na hakuna mgonwjwa yeyote mwenye ugonjwa wa Virusi vya Corona. 
Dkt Ndugulile ametoa kauli hiyo akiwa Jijini arusha katika Ziara zake za kikazi ambapo waandishi wa habari walimuuliza juu ya tetesi za uwepo wa ugonjwa huo nchini, pamoja na kutaka kufahamu ukweli wa taarifa za mtu anayedai kuwa na dawa za ugonjwa...

 

9 years ago

Mwananchi

CCM- Hatutetereki Mgeja kuondoka

Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Shinyanga kimesema hakitatetereka kwa kuondoka kwa mwenyekiti wake mkoani hapa, Khamis Mgeja badala yake kitazidi kuimarika kwa kuwa kina hazina ya wanachama na viongozi makini.

 

9 years ago

TheCitizen

Mgeja, Guninita ditch CCM

Shinyanga regional CCM chairman Khamis Mgeja and Mr John Guninita, the former party’s chairman for Dar es Salaam, yesterday quit the ruling party and announced to join the main opposition, Chadema.

 

10 years ago

GPL

MGEJA AHAMA CCM NA KUJIUNGA CHADEMA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja. MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja ametangaza rasmi kuachana na chama hicho na kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) hivi punde. Mgeja ametangaza uamuzi huo wakati akaiongea na wanahabari jijini Dar es Salaam amabapo ametumia kauli ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliyoitoa mwaka 1995 alipozungumzia...

 

9 years ago

Mtanzania

Mgeja, Guninita waibwaga CCM, wajiunga Chadema

mgeja, guninitaNa Elizabeth Hombo, Dar es Salaam

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja amesema chama hicho kimeacha misingi yake na sasa kimegeuka kuwa kampuni ya familia moja.

Mgeja pia amempiga kijembe mgombea urais kupitia CCM, Dk. John Magufuli akimfananisha na dereva ambaye hajaweza kuendesha gari vizuri ‘learner’ akimaanisha kuwa hana uwezo wa kukiongoza chama hicho.

Mgeja alitoa kauli hiyo   Dar es Salaam jana alipotangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgeja, Guninita wajiengua CCM, wajiunga Chadema

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja na aliyekuwa mwenyekiti mkoa wa Dar es Salaam John Guninita wametangaza leo kuachana na CCM na kujiunga Chadema.

 

10 years ago

TheCitizen

Mgeja, Guninita quit CCM, join Chadema

Shinyanga Region Chama Cha Mapinduzi (CCM) chairman, Khamis Mgeja and former Dar es Salaam Region chair John Guninita have quitted membership of the ruling party.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani