Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgimwa: Niliahidi kuwatumikia wananchi wa kalenga nimefanikiwa kwa asilimia 99 ndani ya mwaka mmoja pekee

Mbunge  Mgimwa akitimiza ahadi yake  ya bati 50 kwa kituo cha yatima Tosamaganga

Mbunge Mgimwa katikati  akitazama nguzo  za umeme katika kata ya Mgama.

WAKATI   wabunge wakiwa  mbioni kumaliza muda wao mbunge wa jimbo la Kalenga Bw. Godfrey Mgimwa amesema kuwa kwa  kipindi chake cha mwaka mmoja kama mbunge wa jimbo hilo la Kalenga amesema anamshukuru Mungu katika  safari yake ya  kuwatumikia wananchi  wa  jimbo la Kalenga kwa kufanikisha  kutekeleza ahadi  zake kwa asilimia 99.9 ndani...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WANANCHI KATA YA NZIHI JIMBO LA KALENGA WAMPONGEZA MBUNGE MGIMWA

Wazee kijiji cha Nyamihuu wakimpa baraka na kumpongeza mbunge  Mgimwa  kwa uchapa kazi wake  Na Francis Godwin Blog MBUNGE  wa jimbo la Kalenga Bw Godfrey Mgimwa amesema atahakikisha anafanya kazi na  vyama  vyote vya  siasa na  kuwa kuwataka  wananchi wa  jimbo la Kalenga kuachana na makundi  ya vyama vya siasa na kuunagana  pamoja  ili  kufanikisha  jimbo hilo kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo.
Mbali ya  kuwataka kuachana na makundi  ya kisiasa  pia amewataka  waliokuwa...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE MGIMWA APIGANIA UMEME KALENGA, WANANCHI WAKE WAMPONGEZA‏

Mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa akiwa katika usafiri wa Baiskeli  kutembelea wananchi  wake. MBUNGE wa Kalenga Godfrey Mgimwa (CCM) ameiomba Serikali kupeleka umeme katika vijiji vilivyopitiwa na umeme huku vyenyewe vikikosa Nishati hiyo. Alitoa ombi hilo wakati akiuliza swali la nyongeza Bungeni ,Mgimwa alivitaja vijiji vilivyopitiwa na umeme ni Kipela kata ya Nzihi,Wenda kata ya Mseke , Tagamenda kata ya...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE MGIMWA ACHANGIA VICOBA TANANGOZI ,ASEMA NDOTO YAKE KUWA NA BENKI YA WANANCHI WA JIMBO LA KALENGA

Wanachama  wa  kikundo cha  VICOBA cha  Lukindo woman Group wakimvisha  mavazi ya uchif mbunge wa  jimbo la kalenga Bw Godfrey Mgimwa baada ya  kufurahishwa na jitihada zake  jimboni  humoWanachama  wa  VICOBA  Tanangozi  Kalenga  wakimshangilia mbunge  wa  jimbo la kalenga Godfrey MgimwaMbunge wa   jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa katikati akipokelewa kijiji cha Tanangozi wakati  wa harambee ya  kuchangia VICOBA.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

5 years ago

Michuzi

WANYAMA 380 WAMEKUFA KWA KUGONGWA NA MAGARI NDANI YA MWAKA MMOJA 2019


WANYAMA 380 wamekufa kwa kugongwa na magari  ndani ya mwaka mmoja 2019 katika eneo la mapito ya wanyama kuanzia Magugu wilayani Babati hadi Makuyuni wilayani Monduli ambayo husaidia wanyama kwenda hifadhi ya tarangire na hifadhi ya Manyara.

Mtafiti wa wanyamapori katika mradi wa Simba Tarangire, Dk Bernard Kissui alitoa taarifa hizo juz katika kikao cha kujadili kuokoa eneo la mapito ya wanyama kwa kuchinja hadi Mdori ambalo linaendelea kuvamiwa .

Dk Kissui alisema kati ya januari hadi...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE GODFREY MGIMWA ASEMA AMETUMIA ZAIDI YA TSH MILIONI 68 KWA MIENZI MITATU YA UBUNGE WAKE KUTEKELEZA AHADI 90 ZA MBUNGE WA KALENGA ALIYEFARIKI DUNIA DR WILIAM MGIMWA‏

Mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa  (kulia) akikabidhi ahadi ya bati 100 alizokuwa ameziahidi mbunge aliyepita marehemu Dr. Wiliam Mgimwa kwa  viongozi wa kijiji cha Mangalali kwa ajili ya ujenzi  wa vyumba vya madarasa  shule ya msingi Lukwambe hadi  sasa ni asilimia 90 ya ahadi binafsi za mbunge aliyefariki  zimetekelezwa jimbo la Kalenga na mbunge Mgimwa…
...

 

11 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE (CCM) JIMBO LA KALENGA GODFREY MGIMWA AHUTUBIA KWENYE MVUA KUBWA,WANANCHI WAKESHA NAE.!

 Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu Godfrey Mgimwa akiwa amebebwa juu na mmoja wa wanakijiji,mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa kampeni wa uchaguzi mdogo wa jimbo hilo,uliofanyika katika kijiji cha Wenda kata ya Mseke-Iringa Vijijini,huku kukiwa na mvua kubwa ikinyesha,ambayo hata hivyo haikuzuia kufanyika kwa mkutano huo.Wananchi wa Kijiji hicho walionekana kuw ana shauku kubwa ya kutaka kumsikiliza Mgombea huyo bila kujali kulowana na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtoto wa mwaka mmoja afungiwa ndani kwa miezi sita huku akiteswa na kula magodoro Dar

 

SONY DSC

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillus Wambura.

Katika kile kinachoelezwa kitendo cha kikatili, dhidi ya watoto kushamiri, Mtoto wa mwaka mmoja na miezi sita (jina limehifadhiwa ),anadaiwa kuteswa na mama yake mzazi kwa kipindi cha miezi kumi akiwa amefungiwa ndani huku akila magodoro baada ya kubainika na majirani.

Kwa mujibu wa taarifa ya Neema Brian wa mtandao wa http://sautiyamnyonge.com alibainisha kuwa, Mtoto huyo ambaye amelazwa katika hospitali ya Mwananyamala, ambaye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani