Mgogoro wazuka kuhusu kocha wa S Leone
Mgogoro kuhusu mkufunzi halisi atakayesimamia timu ya taifa la Sierra Leone umezuka
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Jun
Mgogoro mwingine wa ardhi wazuka Arumeru
SAKATA la migogoro ya ardhi katika wilaya ya Arumeru mkoani Arusha imekuwa ikichukua sura mpya kila kukicha, sasa kumeibuka mgogoro mwingine wa kugombea mpaka kati ya Kijiji cha Olkung’wadu wilayani humo na kijiji cha Lekimurunyi cha wilayani Siha, Mkoani Kilimanjaro.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Aec7jUwpfUA/Vl2YbbI7mNI/AAAAAAAIJg4/8kONKsZtnic/s72-c/New%2BPicture.png)
TAARIFA KUHUSU UTATUZI WA MGOGORO WA WAKULIMA WA MIWA KILOMBERO
![](http://4.bp.blogspot.com/-Aec7jUwpfUA/Vl2YbbI7mNI/AAAAAAAIJg4/8kONKsZtnic/s1600/New%2BPicture.png)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTATUZI WA MGOGORO WA WAKULIMA WA MIWA KILOMBERO Bodi ya Sukari Tanzania imefuatilia na kubaini chanzo cha malalamiko ya wakulima wa miwa wanaozunguka Kiwanda cha Sukari cha Kilombelo (ILOVO).
Akizungumza katika taarifa yake, Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Sukari Tanzania Bwana Henry Semwanza alisema kuwa, chanzo cha malalamiko yanatokana na kiwanda kuharibika bila kutarajia na kusimamisha uzalishaji kuanzia tarehe 14 hadi 18...
10 years ago
StarTV09 Apr
John Kerry aionya Iran kuhusu mgogoro Yemen
Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani John Kerry ameionya Iran dhidi ya hatua yake ya kuwaunga mkono wapiganaji wa Houthi wanaopambana na serikali ya Yemen.
Katika mahojiano ya Televisheni, John Kerry amesema Marekani itaiunga mkono nchi yoyote mashariki ya Kati itakayotishiwa na Iran.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/624/amz/worldservice/live/assets/images/2015/04/02/150402180008_iran_640x360_ap_nocredit.jpg)
Jana Iran ilituma meli mbili za kivita katika bandari ya Aden kuwaunga mkono waasi, ambao wanapambana kuudhibiti mji huo.
Marekani inaunga mkono muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudia...
10 years ago
Michuzi08 Aug
11 years ago
GPL07 May
GLOBAL TV ONLINE; KIPINDI MAALUM KUHUSU MGOGORO WA WAENDESHA BODABODA DAR
5 years ago
BBCSwahili30 Apr
Mgogoro kuhusu amri ya kutotoka nje Malawi na mipango ya kuwalipa raia fedha
10 years ago
BBCSwahili06 Jun
Mo Farah ataka majibu kuhusu kocha wake
9 years ago
StarTV18 Aug
UONGOZI SIMBA:Wasubiri ripoti ya kocha Kerr kuhusu kambi.
Klabu ya soka ya Simba inasubiri ripoti ya kocha mkuu wa timu hiyo Dylan Kerr ambayo itaeleza wapi timu hiyo itaweka kambi ya mwisho ya kujiandaa na ligi kuu soka Tanzania bara.
Simba imesema ripoti hiyo itaeleza ni mchezaji gani anatakiwa kusajiliwa miongoni mwa wale waliopo klabuni hapo kwa ajili ya majaribio.
Haji Manara ni Afisa Habari wa Simba amesema baada ya kumaliza mchezo wao dhidi ya URA ambao waliutumia kuwapima baadhi ya wachezaji lakini ripoti ya kocha ndiyo itategua kitendawili...
9 years ago
Bongo531 Dec
David Moyes ametoa mtazamo wake kuhusu kocha Louis van Gaal
![2FAFDCED00000578-3379123-David_Moyes_has_placed_his_support_behind_Manchester_United_bele-a-108_1451493821789](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/2FAFDCED00000578-3379123-David_Moyes_has_placed_his_support_behind_Manchester_United_bele-a-108_1451493821789-300x194.jpg)
Kocha wa zamani wa Everton na Manchester United, David Moyes ameeleza mtazamo wake kuhusu kocha wa sasa wa United Louis van Gaal. David Moyes amesema Van Gaal anastahili kupewa muda zaidi huku akiamini kuwa Manchester United inaweza kuzoa mafanikio chini ya Mdachi huyo.
Mashabiki wa United tayari wamepoteza imani kwa Van Gaal huku wakishuhudia klabu yao iliyokosa soka la kuburudisha ikifunga magoli 13 tu msimu huu kwenye Premier League. Lakini licha ya shutuma za mashabiki na wachambuzi wa...