Mgombea adai hataki kuwadanganya Wanakalenga
Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga kupitia Chausta, Richard Minja, amesema kampeni anayofanya yeye ni tofauti kwa sababu yeye bado ni mwanasiasa mchanga, mwenye ndoto za kuwa mwanasiasa na asiyependa kudanganya wananchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV21 Aug
Mgombea CUF adai kutekwa, kuporwa fomu.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Kadam-20August2015.jpg)
Mgombea ubunge wa Chama cha Wananchi (CUF) amedai kutekwa, kutishwa na kuporwa fomu za kugombea katika jimbo la Shaurimoyo, Unguja.
Mgombea huyo, Abdi Seif Hamad, alidai kuwa tukio hilo lilitokea Agosti 17, mwaka huu majira ya asubuhi katika maeneo ya jimbo hilo. Alidai kuwa akiwa maeneo hayo wakati akitafuta wadhamini, ghafla kikatokea kikundi cha watu wapatao wanane wakiwa wamejifunika nyuso na kumteka,...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Aug
Mgombea wa CUF adai kutekwa na kuporwa fomu zake
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja, Mkadam Khamis Mkadam. Na Rahma Suleiman 20th August 2015 Mgombea ubunge wa Chama cha Wananchi (CUF) amedai kutekwa, kutishwa na kuporwa fomu za kugombea katika jimbo la Shaurimoyo, […]
The post Mgombea wa CUF adai kutekwa na kuporwa fomu zake appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
StarTV17 Sep
Mgombea Urais adai vyama vya upinzani havitendewi haki
Mgombea Urais kupitia Chama cha Tanzania Labour TLP Macmillan Lyimo ameitupia lawama Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa haiwatendei haki baadhi ya wagombea urais kupitia vyama vya upinzani kwa kutowapa Fedha za ruzuku.
Akizungumza na waandishi wa habari Mgombea Urais TLP Macmillan Lyimo amesema wamekuwa wakibaguliwa licha ya mataifa ya nje kutoa fedha za kusaidia uchaguzi nchini wakati Tume za Uchaguzi za Afrika Mashariki isipokuwa Tanzania zikiwawezesha wagombea wote kwa usawa.
Mgombea huyo...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/hKWWybVeX_0/default.jpg)
11 years ago
Michuzi05 Mar
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/03/127.jpg)
GODFREY MGIMWA AWAOMBA WANAKALENGA KUMKOPESHA IMANI, YEYE ATAWALIPA MAENDELEO KALENGA