Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea CUF adai kutekwa, kuporwa fomu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Mkadam Khamis Mkadam.

Mgombea ubunge wa Chama cha Wananchi (CUF) amedai kutekwa, kutishwa na kuporwa fomu za kugombea katika jimbo la Shaurimoyo, Unguja.

Mgombea huyo, Abdi Seif Hamad, alidai kuwa tukio hilo lilitokea Agosti 17, mwaka huu majira ya asubuhi katika maeneo ya jimbo hilo. Alidai kuwa akiwa maeneo hayo wakati akitafuta wadhamini, ghafla kikatokea kikundi cha watu wapatao wanane wakiwa wamejifunika nyuso na kumteka,...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mgombea wa CUF adai kutekwa na kuporwa fomu zake

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja, Mkadam Khamis Mkadam. Na Rahma Suleiman 20th August 2015 Mgombea ubunge wa Chama cha Wananchi (CUF) amedai kutekwa, kutishwa na kuporwa fomu za kugombea katika jimbo la Shaurimoyo, […]

The post Mgombea wa CUF adai kutekwa na kuporwa fomu zake appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi yathibitisha mgombea ubunge wa ACT kutekwa

Jeshi la Polisi mkoani Simiyu limethibitisha kutekwa kwa mgombea ubunge Jimbo la Bariadi, kupitia chama cha ACT Wazalendo Masunga Ng’hozo na watu wasiojulikana.

 

9 years ago

Mwananchi

Utata waibuka ukweli sakata la mgombea wa ACT kutekwa

Jeshi la polisi mkoani Simiyu linamhoji mgombea  ubunge Jimbo la Bariadi kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Masunga Nghonzo kwa madai ya kutekwa na watu wasiojulikana katika mji wa Bariadi.

 

10 years ago

Vijimambo

LIPUMBA NDIE MGOMBEA PEKEE CUF ATAKAE WAKILISHA CUF KUGOMBEA URAIS UKAWA


Chama cha wananchi CUF kimesema kuwa siku ya Jumapili ya Tarehe 14 mwezi huu wa sita ndiyo siku rasmi ya kumkabidhi rasmi form ya kuomba kugombea urais wa jamhuri ya muunganoi wa Tanzania mwenyekiti wa chama hicho Profesa IBRAHIM LIPUMBA baada ya kujitokeza mwenyewe katika chama hicho kuomba nafasi hiyo licha ya chama hicho kutangaza kwa muda mrefu watu kujitokeza kutangaza nia.Naibu Mkurugenzi Uchaguzi na Mipango wa CUF, Shaweji Mketo akizngumza na wanahabari mbalimbali makao makuu ya chama...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea Mwenza  wa Urais Mh. Samia Suluhu  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.   Baadhi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mgombea adai hataki kuwadanganya Wanakalenga

Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga kupitia Chausta, Richard Minja, amesema kampeni anayofanya yeye ni tofauti kwa sababu yeye bado ni mwanasiasa mchanga, mwenye ndoto za kuwa mwanasiasa na asiyependa kudanganya wananchi.

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea CCK achukua fomu za urais

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), Dk Godfrey Malisa, jana amechukua fomu ya kuwania nafasi hiyo katika Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), ambapo aliahidi kufanya kampeni za uhuru, amani na utulivu.

 

10 years ago

GPL

MGOMBEA URAIS WA CHAUMMA ACHUKUA FOMU

Ofisa wa NEC, Adam Nyando (kushoto) akimkabidhi fomu ya urais, Hashim Rungwe. Ofisa wa NEC, Crecencia Mayalla (kushoto), akimpatia maelekezo mgombea namna ya kujisajili katika daftari la wagombea.…

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea urais ADC achukua fomu

MGOMBEA wa urais kwa Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC), Chief Lutasola Yemba jana alichukua fomu ya uteuzi wa urais katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kuahidi kuleta mabadiliko nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani