MH. MWANJELWA AMWAKILISHA VYEMA KATIBU MKUU WA CCM TAIFA, AWASILISHA MABATI 40 ALIYOAHIDI KATA YA NSALAGA MBEYA
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, (CCM),akikabidhi mabati 40, kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulhaman Kinana, ambaye aliahidi Desemba 4, 2013, alipotembelea Jijini Mbeya na kuona jitihada za wanachama wa CCM wa kata hiyo kujenga ofisi nzuri. Baadhi ya wananchi wakimpongeza na kumshukuru Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, (CCM),baada ya kufikisha salama mabati 40, ambayo Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulhaman Kinana, aliahidi Desemba 4,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASHUKURU WAKAZI WA TANGA KWA KUFANYA VYEMA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
11 years ago
GPLTAMKO LA WENYEVITI WA CCM-MIKOA LA KUMPONGEZA KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHAMAN OMAR KINANA NA SEKRETARIETI YA CCM TAIFA
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM AMNADI RIDHIWANI KIKWETE KATIKA KATA ZA UBENA ZOMOZI LEO
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi na wanaCCM wa Kata ya Ubena...
11 years ago
Dewji Blog30 May
Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Babati vijijini
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Ndugu Vrajilal JituSon mara baada ya kuwasili na kupokelewa katika Kata ya Mangara wilaya ya Babati Vijijini.Katibu Mkuu wa CCM yupo ziarani katika mkoa wa Manyara ambapo atafanya shughuli za kimaendeleo ikiwemo kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kukagua uhai wa chama.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa amezungukwa na wakazi wa Kata ya Mangara wilayani...
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM AKABIDHI PIKIPIKI 9 NA BAISKELI 86 KWA KATA NA MATAWI YA CCM WILAYA YA KIBAHA VIJIJINI,PIA AKABIDHI KADI KWA WANACHAMA WAPYA ZAIDI YA 100
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KATA ZA MWENGE NA MATOPENI KATIKA WILAYA YA LINDI MJINI PIA AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MABATI YA ALAF YATOA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA MBEYA
Meneja wa Kampuni ya ALAF Tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege akitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kabla ya kumkabidhi msaada wa mabati 384 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King na Meneja wa ALAF tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege wakikabidhiana...
5 years ago
MichuziBREAKING NEWZZZZZ: ALIYEKUWA KATIBU MKUU TAIFA WA CHADEMA DKT MASHINJI AHAMIA CCM.