Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. RIDHIWANI AZINDUA MRADI WA MAJI MBALA

Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akizindua mradi wa maji kwenye kijiji cha Mbala kata ya Vigwaza.kushoto ni askofu mkuu wa Jimbo la Mashariki ya kanisa la Waadventista wasabato,Askofu Mark Malekana.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akifungua maji kwenye bomba mara baada ya kuzindua mradi wa maji kwenye kijiji cha Mbala kata ya Vigwaza.Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akizindua mradi wa maji kwenye Kijiji cha Mbala hapa anaonekana akifungua maji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani Kikwete azindua Kisima cha Maji, Lambo katika kijiji cha jamii ya Wafugaji cha Mbala,Chalinze

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akionozana na akina mama wa jamii ya kimasai waliobeba maji waliyoyateka baada ya mbunge huyo kuzindua kisima cha maji katika Kijiji cha Mbala, Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani jana. Kisima hicho pamoja na lambo la kunyweshea mifugo vimejengwa na Kanisa la Wasabato kwa gharama ya sh. mil. 76. Kushoto ni Kiongozi wa mradi huo, Joseph Chagama na nyuma yake ni Askofu wa Kanisa la Wasabato Jimbo la Mashariki,Mark Malekana. (PICHA NA RICHARD...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA KWADELO WILAYA YA KONDOA

 Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akiweka jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi kisma cha bomba la maji katika kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa Machi 20, 2014 sambamba na maadhimisho ya kilele cha wiki ya maji dunia ambapo kitaifa yana fanyikia Mkoani Dodoma (kulia kwake), Mbunge wa Jimbo la Kaskazini Kondoa Mhe: Zabeini Mhita. kauli mbiu ni uhakika wa maji na nishati.  Profesa.Jumanne Maghembe akipanda mti baada ya kuzindua mradi wa maji.  Waziri wa...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI MBAGALA KUU,JIJINI DAR LEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko (katikati) akiwa na Balozi wa Ubelgiji Tanzania, Koen Adam (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo na Ushirikiano Wizara ya Mambo ya Nje Ubelgiji, Peter Moors (kushoto) wakizunguka kuangalia mradi wa maji Mbagala Kuu. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko (katikati) akiwa na Balozi wa Ubelgiji Tanzania, Koen Adam (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo na Ushirikiano Wizara ya Mambo ya Nje Ubelgiji, Peter Moors (kushoto) wakikata...

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI WA MAJI MH AMOS MAKALLA AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI KIJIJI CHA MKONGO NAKAWALE

Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla akisalimiana na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo, kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Bi. Agnes Hokororo.

Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Namtumbo pamoja na mambo mengine amezindua mradi mkubwa Maji kijiji cha Mkongo Nakawale ambao watu zaidi ya 4000 wanapata Maji safi.

Aidha amekagua mradi wa Maji Milonji na ametoa agizo hadi kufikia tarehe 12 mei mwaka huu mkandarasi awe amekamilisha kuchimba...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI WA SHILINGI MILIONI 300 KIJIJI CHA MVUMI MAKULU MKOANI DODOMA.

 kushoto Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally, akiwa na Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe wakizindua kisima cha maji.
 Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe, pamoja naMkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally wote kwa pamoja wakifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya maji.  Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Mvumi makulu Mkoani Dodoma.  Muonekano wa kisima kichozinduliwa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mnyika azindua mradi wa maji

Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana. Kuhusu masuala mbali mbali yanayohutu tume ya Katiba. Picha na Emmanuel Herman

Mbunge wa jimbo la Ubungo, John Mnyika (Chadema).

Na Mwandishi wetu

MBUNGE Ubungo, John Mnyika (Chadema) amezindua mradi wa maji ya kisima katika kata ya Mbezi Luis jijini Dar es salaam.

Mradi huo wa maji unatokana na mchango na nguvu ya wananchi wa kikundi cha maendeleo cha ‘great 12 development group’ kinachotarajia kuchimba visima ambavyo vitasambaza maji kwa wananchi wanaowazunguka.

Akizunguma jana jijini Dar es Salaam, katika uzinduzi huo Mnyika alisema mradi huo umegharimu milioni 40...

 

10 years ago

Michuzi

MH. MAKALLA AZINDUA MRADI WA MAJI HANANG

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akizindua rasmi mradi wa maji wa kijiji cha Simbay, Wilaya ya Hanang, mkoani Manyara katika ziara yake aliyoanza mkoa wa Manyara jana, akiwa pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu na Mbunge wa Hanang, Dk. Mary Nagu na Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Christina Mndeme.Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla, Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Christina Mndeme na Inj. Salum Chusi wa Wizara ya Maji (nyuma) wakiangalia pampu ya maji ya mradi wa Simbay katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani