Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Ummy Mwalimu katika ziara ya kikazi Wilaya za Mkinga na Pangani

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu mwishoni mwa wiki amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Mkinga na Pangani kuhimiza wanawake kujiandikisha na kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuunga mkono juhudi za Serikali katika ujenzi wa Maabara.Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Mh. Ummy Mwalimu akikabidhi kadi ya (UWT) kwa Bi. Halima Kassim mmoja wa wanachama wapya katika Kata ya Maramba, Wilaya ya Mkinga. Naibu Waziri...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mhe. Ummy Mwalimu afanya ziara ya ukaguzi wa mazingira katika kiwanda cha OK Plastic

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu amefanya ziara ya ukaguzi wa mazingira katika kiwanda cha OK Plastic kilichopo jijini Dar Es Salaam. Ziara hiyo ni muendelezo wa ziara za kuangalia hali ya mazingira kwenye viwanda mbalimbali hapa Nchini. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu akipata maelezo ya uendeshaji wa kiwanda cha OK Plastic kutoka kwa Menejimenti ya kiwanda hiko.Wengine wanaofuatia ni Mkurugenzi Msaidizi-Mazingira Ofisi ya Makamu wa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY MWALIMU KATIKA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA YA BOMBO MKOANI TANGA, KUKAGUA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA LEO

IMG-20151220-WA0012Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akizungumza na mmoja wa wakina mama anayemhudumia mwanae katika wodi ya watoto Hospitali ya rufaa ya Bombo mkoani Tanga alipofanya ziara ya kushtukiza leo mchana Disemba 20, 2015.IMG-20151220-WA0019Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akimsikiliza mmoja wa akina mama aliyelazwa kwenye wodi ya wazazi wakati wa ziara ya kushtikiza aliyoifanya mchana wa leo Desemba 20, 2015 katika Hospitali ...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe .Ummy Mwalimu Aendesha Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Wasichana wa Wilaya ya Muheza - Tanga

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais,Mhe Ummy Mwalimu kupitia Taasisi ya Maendeleo ya Wanawake wa Mkoa wa Tanga (TAWODE) ameendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wasichana wa Wilaya ya Muheza, Mkoani Tanga wenye umri kati ya miaka 10 - 24. Lengo la mafunzo hayo ni kuwawezesha wasichana hao kujitambua na kujithamini katika masuala ya afya ya uzazi ili kujikinga na mimba na ndoa za utotoni na maambukizi ya VVU/UKIMWI.Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa...

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI UMMY MWALIMU AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MASOKO YA MANISPAA ZA TEMEKE NA ILALA

 Naibu Wazir Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Injinia Mussa Natty. Naibu Wazir Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu akipata maelezo juu ya usafi wa mazingira eneo la soko unavyofanyika. Anayetoa maelezo ni Mwenyekiti wa Soko la Tandale Sultan Ally Kinombo.Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu (katikati)  akiwa katika ziara kukagua soko la Temeke la Stereo....

 

11 years ago

Michuzi

JK KATIKA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TANGA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Pikipiki mmoja wa maafisa watendaji kata Wilaya ya Kilindi Bi.Elizabeth Mwita muda mfupi kabla ya Rais Kuhutubia Mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi. Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi mkoani Tanga. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe katibu wa TFF Wilaya ya Kilindi Bwana Omari Javu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songe Kilindi jana.Kombe hilo lijulikanalo kama Kikwete cup litashindaniwa katika ligi ya wilaya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete katika ziara ya kikazi Mkoani Tanga

unnamed (66)

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Pikipiki mmoja wa maafisa watendaji kata Wilaya ya Kilindi Bi.Elizabeth Mwita muda mfupi kabla ya Rais Kuhutubia Mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi. Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi mkoani Tanga.

unnamed (67)

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe katibu wa TFF Wilaya ya Kilindi Bwana Omari Javu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songe Kilindi jana.Kombe hilo lijulikanalo kama Kikwete cup litashindaniwa katika ligi ya wilaya...

 

11 years ago

Michuzi

Katibu wa Bunge Dr Kashililah katika ziara ya kikazi Uingereza

 Katibu wa Bunge Dr Thomas Kashililah ambae pia ni Katibu Mkuu wa CPA  Barani Afrika akisikiliza maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa CPA duniani,Dr William Shija wakati alipotembelea Makao Makuu ya Chama hicho yaliyopo London.Kushoto ni Mkurugenzi wa Fedha wa chama hicho Bw.Joe Omorodin na kulia ni Mkuu wa Itifaki katika ofisi ya Bunge,Bw.Demetrius Mgalami. Katibu wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola tawi la Uingereza,Bw.Andrew Tuggey akitoa ufafanuzi wa namna tawi hilo linavyojiendesha...

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU AWASILI MKOANI TABORA KATIKA ZIARA YA KIKAZI

Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania, akisalimiana na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora, Mhe. Simba alipowasili MKOANI Tabora leo kwa ajili ya ziara ya kutembelea Mahakama mkoani humo. Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania, akisalimiana na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, Bi. Suzan Kaganda alipowasili mapema Leo mkoani Tabora kwa ajili ya ziara. Baadhi ya Watumishi wa Mahakama mkoani Tabora wakisubiri kumpokea Mhe. Jaji Mkuu . Mhe. Mohamed Chande...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani