mhe augustino lyatonga mrema atema cheche bungeni, asema hana ukimwi na kwamba hafi mtu hapa
![](http://img.youtube.com/vi/5IIALrUTeag/default.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/q_bdzhEEess/default.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-E2KFjjTr4AE/U1c7mpw_u2I/AAAAAAAFcac/CX1-_gB86pI/s72-c/unnamed+(54).jpg)
MWENYEKITI SITTA ASEMA MJADALA UNAENDELEA WAKATI MHE EZEKIEL OLUOCH AREJEA BUNGENI AKITANGAZA HANA KUNDI
Wakati bunge Maalum la Katiba linaendelea na kikao leo, baadhi ya wajumbe waliokuwa wanasemekana kuwa ni wanachama wa umoja wa kinachoitwa katiba ya wananchi (UKAWA) wamejitokeza na baadhi yao kukanusha kuunga mkono umoja huo. Mmoja wao ni Mhe Ezekiel Oluoch ambaye alikuwa anadaiwa kuwa miongoni mwa WANA UKAWA aliingia Bungeni jana na kukana kuhusika na umoja huo na kuongeza kuwa yeye hana kundi lolote ndani ya bunge, na kwamba ataendelea na kazi ya aliyoteuliwa kuifanya.
Mjumbe wa...
![](http://3.bp.blogspot.com/-E2KFjjTr4AE/U1c7mpw_u2I/AAAAAAAFcac/CX1-_gB86pI/s1600/unnamed+(54).jpg)
11 years ago
Habarileo17 Feb
Membe atema cheche
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ametema cheche akitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuruhusu mgombea wa urais mwakani, kujulikana ifikapo Desemba, lakini akawashushia lawama waandishi wa habari nchini.
11 years ago
Mwananchi01 Jan
IGP atema cheche
Baada ya kuapishwa jana kuwa Mkuu mpya wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali Ernest Mangu amesema ataanza kazi yake kwa kupambana na uhalifu wa aina zote pamoja na ajali za barabarani.
10 years ago
Mwananchi04 Dec
Mmiliki wa IPTL atema cheche
Mmiliki wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL, Habirnder Seth Singh amesema anafikiria mara mbilimbili iwapo aendelee kuwekeza nchini au la, baada ya kuwapo kwa tuhuma kwamba alihusika na uchotaji wa fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
Balozi Sefue atema cheche
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
SERIKALI imewataka viongozi waandamizi wanaoendelea kutumia risiti za kuandikwa kwa mikono katika makusanyo ya serikali kuachia ngazi kwa kuwa wameshindwa kudhibiti mapato ya serikali.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, alipokuwa akifungua mkutano wa faragha wa mwaka wa makatibu wakuu, manaibu na makatibu tawala wa mikoa.
Sefue alisema mfumo ya kukusanya mapato kwa kutumia risiti zilizoandikwa kwa mikono unasababisha uvujaji mkubwa...
9 years ago
Habarileo06 Dec
Mbunge Gama atema cheche
MBUNGE wa Songea Mjini, Leonidas Gama, ametoa wiki mbili kwa Mhandisi wa Maji wa manispaa hiyo, Samwel Sanya, kuhakikisha wakazi wa kata ya Luhuwiko wanapata huduma ya maji safi na salama.
11 years ago
Michuzi20 Jul
WAZIRI DK. KAMANI ATEMA CHECHE BUSEGA
NA MWANDISHI WETU, BUSEGA.MWENYEKITI wa CCM mkoani Simiyu, Dk. Titus Kamani, amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali wakiwemo Madiwani, Makatibu wa Chama na Jumuia zake, kujiwekea ratiba ya kutembelea wananchi ili watambue kero zinazowakabili.
Dk. Kamani, ambaye pia ni Mbunge wa Busega na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, alisema hayo mwishoni mwa wiki wakati akizungumza na baadhi ya viongozi wa Chama katika Kijiji cha Lamadi wilayani Busega.
Alisema huu sio wakati wa kukaa na kubweteka...
Dk. Kamani, ambaye pia ni Mbunge wa Busega na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, alisema hayo mwishoni mwa wiki wakati akizungumza na baadhi ya viongozi wa Chama katika Kijiji cha Lamadi wilayani Busega.
Alisema huu sio wakati wa kukaa na kubweteka...
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Waziri Mwijage atema cheche kwa watendaji
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage ametema cheche bungeni kwa kuwataka watendaji wote wa Wakala wa Umeme Vijijini (Rea), kuwataarifu wabunge wa maeneo yao kuhusu utekelezaji wa miradi ya umeme.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania