Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhe. Membe Aahidi Kuendeleza Diplomasia ya Michezo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Kamiliusi Membe (Mb.) akizungumza na baadhi ya wanamichezo walioshiriki michezo ya Jumuiya ya Madola Glasgow, Scotland mwezi Agosti, alipo kutana nao na kufanya kikao cha kutathmini matokeo ya timu ya Tanzania katika kituo cha michezo cha Filbert Bayi kilichopo Kibaha Mkuza. Wanamichezo wakimsikiliza kwa makini Waziri Membe (Hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao. Viongozi mbalimbali wa vyama vya michezo wakimsikiliza ...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MEMBE ATANGAZA NIA YA URAIS, AAHIDI KUPAMBANA NA RUSHWA, KUBORESHA MICHEZO

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, hivi punde ametangaza nia ya kuwania urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa Viwanja vya CCM mkoani Lindi. Katika hotuba yake, Mhe. Membe amesema akipata fursa ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atapambana na rushwa, kuboresha elimu, afya, uchumi, michezo na sanaa, kuimarisha ulinzi na kusimamia muungano. Kauli mbiu ya kiongozi huyo ni...

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA IMEJIPANGA KUTEKELEZA DIPLOMASIA YA UCHUMI: WAZIRI MEMBE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard K. Membe (Mb) akizungumza na Waandishi wa Habari, kuhusu Mafanikio ya Wizara kwa kipindi cha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa mwaka 1964 katika nyanja mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi, ushiriki wa Tanzania kwenye harakati za ukombozi na utatuzi wa migogoro Barani Afrika na Diplomasia ya Michezo . Waandishi wa Habari waliokuwepo wakati wa mkutano kati yao na Waziri Membe (hayupo...

 

11 years ago

Michuzi

Mhe. Membe akutana na Mhe. Mark Simmonds, Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika

Mhe. Bernard K. Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Mark Simmonds, Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika kwenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza leo tarehe 11 Juni 2014.  Pamoja na mambo mengine, Mawaziri hao wamezungumzia maazimio ya Mkutano wa Kimataifa kuhusu Ukomeshwaji wa Udhalilishaji wa Kijinsia kwenye Maeneo yenye Migogoro (“End Sexual Violence in Conflict”) unaoendelea mjini London, Uingereza.   Tanzania...

 

11 years ago

Michuzi

Mhe. Membe na Mhe. Simmonds wazungumzia kuimarisha ushirikiano

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.)  akisalimiana na Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya  Afrika, Mhe. Mark Simmonds kabla ya kuanza kikao kuhusu ushirikiano kati ya Tanzania na Uingereza kilichofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency (Kilimanjaro) tarehe 09 Julai, 2014. Mhe. Siimmonds alifanya ziara ya siku mbili nchini kwa lengo la kukuza na kuimarisha ushirikiano.Mhe. Membe (kulia) na ujumbe wake pamoja na Mhe. Simmonds (kushoto) na...

 

10 years ago

Mwananchi

Halmashauri zisikwepe kuendeleza michezo

Kwa uelewa wangu, halmashauri iwe ni ya wilaya, mji, manispaa au jiji, ndiyo inayotekeleza majukumu yote ya kiutawala na kimaendeleo kwa wananchi nchini.

 

9 years ago

Mwananchi

Halmashauri zisaidie kuendeleza michezo, vipaji

Niko Bagamoyo, makazi mapya niliyochagua kuanza maisha. Bahati moja niliyoipata ni kuwa na makazi jirani kabisa na ofisi ya mkuu wa wilaya, Bomani, kifupi niko karibu na Serikali ya Bagamoyo.

 

10 years ago

Vijimambo

SEHEMU YA MPANGO WA KUENDELEZA MICHEZO WA MAKAMBA, HUU HAPA

Mbunge wa Bumbuli na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Habari na Masoko ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambaye hivi karibuni ametangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa January Makamba, ameweka wazi shauku yake ya kuinua kiwango cha michezo nchini.Makamba ambaye ni miongoni mwa wanasiasa wenye mvuto mkubwa kwa vijana nchini, aliweka wazi nia yake hiyo katika mazungumzo yake na Padre Privatus Karugendo ambayo yamechapishwa katika kitabu ambacho gazeti...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo Mhe. Omar Mjenga na Mama Mjenga wamwandalia futari Mhe. Bernard Membe na ujumbe wake Dubai

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard  Membe  akiwa na Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe. Omar Mjenga wakisubiri muda wa  futari mjini Dubai leo. Mhe. Membe alikuea njiani  kuelekea Colombo, Sri Lanka kwenye mkutano wa Jumuiya ya Madola. Mheshimiwa Membe  akiwa na Mheshimiwa Balozi Mdogo Omar Mjenga kwenye futari.
 Mheshimiwa Membe  akiwa na Mheshimiwa Balozi Mdogo Omar Mjenga kwenye futari.Mheshimiwa Membe pamoja na Mhe. Mjenga, wakiwa katika mazungumzo kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani