Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE.KASSIM MAJALIWA AZINDUA RASMI KAMPENI YA FISTULA

 Naibu waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Mh. Kassim Majaliwa (Kulia)akikabidhiwa hundi yanye thamani ya shilingi milioni 100/- na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon, kwa niaba ya hospitali ya CCBRT kwa ajili ya kampeni ya kutokomeza Fistula nchini  wakati wa Maadhimisho ya Kimataifa ya Fistula yaliyofanyika  kitaifa  katika Wilaya ya Mbogwe  mkoani Geita mwishoni mwa wiki,Katikati ni Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA(TAMISEMI)MH.KASSIM MAJALIWA AZINDUA RASMI KAMPENI YA FISTULA MWISHONI MWA WIKI‏

Naibu waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Mh. Kassim Majaliwa (Kulia)akikabidhiwa hundi yanye thamani ya shilingi milioni 100/- na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon, kwa niaba ya hospitali ya CCBRT kwa ajili ya kampeni ya kutokomeza Fistula nchini  wakati wa Maadhimisho ya Kimataifa ya Fistula yaliyofanyika  kitaifa  katika Wilaya ya Mbogwe  mkoani...

 

9 years ago

CCM Blog

PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa

 

9 years ago

CCM Blog

MHE.MAJALIWA KASSIM MAJALIWA APATA ZAIDI YA ASILIMIA 73.5%

Idadi ya wabunge ni 394 waliosajiliwa ni 369 na waliohudhuria Bunge ni 351

 Apigiwa kura 258Zilizoharibika ni kura 2Kura za hapana 91








Waziri Mkuu Mteule Majaliwa Kassim Majaliwa apata asilimia 73.5 ya kura zilizopigwa na wapunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


 

9 years ago

Michuzi

JINA LA WAZIRI MKUU MTEULE MHE. MAJALIWA KASSIM MAJALIWA LILIPOWASILISHWA BUNGENI DODOMA LEO


 Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akiingia bungeni mjini Dodoma leo asubuhi akiwa na bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa  na  Rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge,  Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akimkabidhi Spika Job Ndugai bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa  na  Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge, Spika Job Ndugai akiinua bahasha kabla ya kusoma...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA CHETI CHA UHALISI WA MADINI YA BATI...AELEZEA UMUHIMU WAKE KWA TAIFA

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa amezindua cheti cha Uhalisi wa madini ya Bati ambapo amesema uzinduzi huo ni muhimu kwa Taifa letu pamoja na nchi za maziwa makuu.

Amezidua cheti hicho cha uhalisi wakati wa mkutano wa wawekezaji katika sekta ya madini hapa nchini mkutano uliofanyika leo Februari 23,mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere jijini Dar ea Salaam.

Nchi mbalimbali zimepata Cheti cha halisi wa madini ya Bati ambazo ni Uganda, Burundi,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Waziri Mkuu mteule ni Kassim Majaliwa Kassim!

BRAEKI

kasim

Kassim Majaliwa

Tayari dakika chache zilizopita kutoka ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk, John Pombe Magufuli ametuma jina la Waziri Mkuu,  ambaye  ni Kassim Majaliwa aliyekuwa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Jina hilo limefikishwa kwa mbwembwe likiwa ndani ya bahasha tatu huku likiwa limeandikwa kwa mkono. Kwa hatua hiyo sasa  Bunge limeenda mapumziko na dakika chache kutoka sasa litarejea kwa ajili ya kupigia kura na wabunge...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA KWENYE MCHAPALO WA KUZINDUA BUNGE

 Waziri  Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa  akizungumza na  Mke wa Rais Mstaafu wa  Awamu ya Nnne , Mama Salma Kikwete katika hafla fupi  iliyoyofanyika kwenye viwanja vya Bunge mjiniDodoma  baada ya Rais John Magufuli kuzindua Bunge Novemba 2015 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akisalimiana na  Rais Mstaafu wa  Zanzibar, Aman Abeid Karume katika hafla fupi  iliyofuatia  kuzinduliwa kwa Bunge na Rais John Magufuli kwenye  mjini Dodoma Novemba 20, 2015. Hafla hiyo ilifanyika kwenye...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Mteule Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuapishwa kesho


Sherehe za kumuapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (pichani), Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitafanyika katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2015 kuanzia saa   4.00 Asubuhi. Sherehe hizo zinafanyika siku moja  baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha jina lake kwa kura nyingi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uteuzi uliofanywa na Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani