Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHESHIMIWA FREEMAN MBOWE AKUTANA NA WAZIRI MAGUFULI ALIPOTEMBELEA MKOANI KILIMANJARO

Mh Freeaman Mbowe akiongea na Mh' Waziri wa Ujenzi Mh John Magufuli wakati wa hafla ya kuchangia Ujenzi wa madarasa ya Shule iliyopo Masama.Mh Freeman Mbowe akizungumza jambo na Mhe. waziri John Pombe Magufuli wakati wa kukagua Ujenzi wa Barabara ya Kwa Sadala - Masama, Machame km 16

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA MHESHIMIWA FREEMAN MBOWE ASHIRIKI KUFANYA USAFI JIMBONI HAI

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Hai (mwenye kofia katikati) akishirikiana na wananchi wa Lukeni, Kata ya Masama-Mashariki kufanya usafi katika Soko la Masama-Mula juzi, katika kampeni ya kutunza mazingira kwenye jimbo hilo iliyopewa jina la 'Keep Hai Clean' ikitumia gari maalum la kukusanyia taka lenye uwezo wa kubeba tani 32 za taka ambalo mbunge huyo alitoa msaada kwa wananchi wake hivi karibuni.

 

9 years ago

Michuzi

CHADEMA tawi la MAREKANI yakanusha Taarifa kuhusu kuwapokea Dr Wilbroad Slaa na Mheshimiwa Freeman Mbowe hapa

Mwenyeketi wa Tawi la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Washington DC, Kalley Pandukizi  (kulia) akiwa na Katibu wa chama hicho, Ndugu Libe Mwang'ombe (katikati) alipotoa kadi rasmi kwa Beautician maarufu na designer Mtanzania, Linda Bezuidenhout (kushoto). Picha ya Maktaba.Napenda kuchukua nafasi hii kukanusha taarifa ya uongo na uzushi iliyoenezwa kupitia mitandao ya kijamii leo tarehe 18 Septemba 2015 iliyoanzia kwenye JamiiForums yenye kichwa cha habari “Mbowe asalimu amri kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA MH FREEMAN MBOWE MKOANI TABORA

Mweenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa mji wa Nzega katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Paking jana.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwatambulisha viuongozi wa ngazi ya Kata wa Chama cha Wananchi (CUF), kwenye mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Paking mjini Nzega jana. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA MH FREEMAN MBOWE MKOANI MOROGORO

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Mtibwa katika jimbo la Mvomero mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM juziMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wanachi wa kijiji cha Nyandila kilichopo juu ya milima ya Uruguru mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU AMJULIA HALI FREEMAN MBOWE

  WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 9, 2020 amemtembelea na kumjulia hali Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ambaye amelazwa katika hospitali ya Ntyuka jijini Dodoma kwa matibabu.
Waziri Mkuu amemuombea kiongozi huyo uponyaji wa haraka wa majeraha aliyoyapata baada ya kuvamiwa na watu ambao bado hawajajulikana wakati akiingia nyumbani kwake jijini Dodoma usiku wa kuamkia leo Juni 9, 2020.
“Nimepokea kwa masikitiko makubwa  taarifa za tukio la kuvamiwa kwa Mheshimiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA HAI FREEMAN MBOWE AHUTUBIA MANG’ULA MKOANI MOROGORO

Mwenyekii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wakazi wa kijiji cha Mang’ula wilayani Kilombero mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara , uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaya jana.Mwenyekii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wakazi wa kijiji cha Mang’ula wilayani Kilombero mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara , uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaya jana.

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani