ZIARA YA MH FREEMAN MBOWE MKOANI MOROGORO

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Mtibwa katika jimbo la Mvomero mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM juzi
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wanachi wa kijiji cha Nyandila kilichopo juu ya milima ya Uruguru mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
ZIARA YA MH FREEMAN MBOWE MKOANI TABORA



10 years ago
Vijimambo
MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA HAI FREEMAN MBOWE AHUTUBIA MANG’ULA MKOANI MOROGORO



10 years ago
Vijimambo.jpg)
MHESHIMIWA FREEMAN MBOWE AKUTANA NA WAZIRI MAGUFULI ALIPOTEMBELEA MKOANI KILIMANJARO
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
11 years ago
MichuziWaziri Kawambwa afanya ziara Mkoani Morogoro
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, amefanya ziara ya kikazi katika mkoa wa Morogoro iliyaonza Oktoba 20 na kufikia tamati 22, 2014
Katika ziara hiyo ya kikazi, waziri baada ya kupkea taarifa ya hali ya elimu mkoa, alitembelea Shule ya Kilakala Sekondari ya wasichana wa vipaji maalumu kwa ajili ya kupata taarifa za elimu na kukagua miundombinu ya shule.
Waziri huyo mwenye dhamana na sekta ya elimu, pia alikitembelea Chuo cha...
11 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAJI AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI MOROGORO
Mhe. Makalla amemaliza ziara hiyo kwa kutembelea miradi ya maji ya Halmashauri za Wilaya za Ulanga na Kilombero na kukagua utekelezaji wake.
“Utekelezaji unaenda vizuri, isipokuwa kasi iongezwe ili miradi yote ikamilike kwa wakati, na nitafuatilia kwa ukaribu miradi yote niliyoikagua na nitarudi kuangalia maendeleo yake”. Wakati umefika kuhakikisha sekta ya maji inatekeleza sera zake...
11 years ago
Michuzi.jpg)
ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA MKOANI MOROGORO
.jpg)
.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10