Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU AMJULIA HALI FREEMAN MBOWE

  WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 9, 2020 amemtembelea na kumjulia hali Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ambaye amelazwa katika hospitali ya Ntyuka jijini Dodoma kwa matibabu.
Waziri Mkuu amemuombea kiongozi huyo uponyaji wa haraka wa majeraha aliyoyapata baada ya kuvamiwa na watu ambao bado hawajajulikana wakati akiingia nyumbani kwake jijini Dodoma usiku wa kuamkia leo Juni 9, 2020.
“Nimepokea kwa masikitiko makubwa  taarifa za tukio la kuvamiwa kwa Mheshimiwa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MBOWE

 WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 9, 2020 amemtembelea na kumjulia hali Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ambapo alipokuwa amelazwa katika hospitali ya Ntyuka jijini Dodoma kwa matibabu kabla ya kuhamishiwa Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.
Waziri Mkuu amemuombea kiongozi huyo uponyaji wa haraka wa majeraha aliyoyapata baada ya kuvamiwa na watu ambao bado hawajajulikana wakati akiingia nyumbani kwake jijini Dodoma usiku wa kuamkia leo Juni 9, 2020.
“Nimepokea kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu amjulia hali Mwenyekiti Mstaafu wa Baraza la Wazee Dodoma, Balozi, Job Lusinde


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimjulia hali Mwenyekiti Mstaafu wa Baraza la Wazee Dodoma, Balozi, Job Lusinde, nyumbani kwake, Uzunguni jijini Dodoma, May 19, 2020, ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

GPL

MBOWE AMJULIA HALI MBUNGE ROSE KAMILI

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe akimjulia hali Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Manyara kupitia chama hicho, Mhe. Rose Kamili, alipomtembelea hospitalini. Mbunge huyo anadaiwa kujeruhiwa baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kukutwa akigawa fedha kwa wanakijiji wa Kitayawa kata ya Luhota, Iringa Vijijini jana.

 

5 years ago

CCM Blog

SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA JOB NDUGAI AMJULIA HALI MBOWE

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amefika Hospitalini Dodoma kumjulia hali Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe aliyelazwa hapo baada ya kushambuliwa usiku wa kumkia leo na watu wasiojulikana.

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa amjulia hali sheikh mkuu wa Dodoma

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza na sheikh mkuu mkoa wa Dodoma,sheikh Adam Zubeir wakati alipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Kikuyu Flats.Sheikh Zubeir amekuwa akisumbuliwa na maradhi na alipelekwa India kwa matibabu hivi karibuni.

 

10 years ago

Dewji Blog

Jaji Mkuu amjulia hali Rais Kikwete Marekani

0L7C0451

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman aliyemtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore, Maryland, Marekani anakoishi baada kutoka katika hospitali hiyo alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. Kushoto ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete. Jaji Mkuu yuko Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine yeye na ujumbe wake watahudhuria mkutano maalumu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MHESHIMIWA FREEMAN MBOWE AKUTANA NA WAZIRI MAGUFULI ALIPOTEMBELEA MKOANI KILIMANJARO

Mh Freeaman Mbowe akiongea na Mh' Waziri wa Ujenzi Mh John Magufuli wakati wa hafla ya kuchangia Ujenzi wa madarasa ya Shule iliyopo Masama.Mh Freeman Mbowe akizungumza jambo na Mhe. waziri John Pombe Magufuli wakati wa kukagua Ujenzi wa Barabara ya Kwa Sadala - Masama, Machame km 16

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani