WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MBOWE
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 9, 2020 amemtembelea na kumjulia hali Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ambapo alipokuwa amelazwa katika hospitali ya Ntyuka jijini Dodoma kwa matibabu kabla ya kuhamishiwa Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.
Waziri Mkuu amemuombea kiongozi huyo uponyaji wa haraka wa majeraha aliyoyapata baada ya kuvamiwa na watu ambao bado hawajajulikana wakati akiingia nyumbani kwake jijini Dodoma usiku wa kuamkia leo Juni 9, 2020.
“Nimepokea kwa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU AMJULIA HALI FREEMAN MBOWE
Waziri Mkuu amemuombea kiongozi huyo uponyaji wa haraka wa majeraha aliyoyapata baada ya kuvamiwa na watu ambao bado hawajajulikana wakati akiingia nyumbani kwake jijini Dodoma usiku wa kuamkia leo Juni 9, 2020.
“Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za tukio la kuvamiwa kwa Mheshimiwa...
5 years ago
MichuziWaziri Mkuu amjulia hali Mwenyekiti Mstaafu wa Baraza la Wazee Dodoma, Balozi, Job Lusinde
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimjulia hali Mwenyekiti Mstaafu wa Baraza la Wazee Dodoma, Balozi, Job Lusinde, nyumbani kwake, Uzunguni jijini Dodoma, May 19, 2020, ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
11 years ago
GPL
MBOWE AMJULIA HALI MBUNGE ROSE KAMILI
5 years ago
CCM Blog
SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA JOB NDUGAI AMJULIA HALI MBOWE

11 years ago
Michuzi
Mh. Lowassa amjulia hali sheikh mkuu wa Dodoma

10 years ago
Dewji Blog17 Nov
Jaji Mkuu amjulia hali Rais Kikwete Marekani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman aliyemtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore, Maryland, Marekani anakoishi baada kutoka katika hospitali hiyo alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. Kushoto ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete. Jaji Mkuu yuko Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine yeye na ujumbe wake watahudhuria mkutano maalumu wa...
9 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi.jpg)
Lowassa amjulia hali askofu mkuu ruzoka hospitali ya TMJ jijini Dar es salaam leo
.jpg)
10 years ago
Vijimambo
JAJI MKUU WA TANZANIA MOHAMED CHANDE OTHMAN AMJULIA HALI RAIS JAKAYA KIKWETE NCHINI MAREKANI
