Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHESHIMIWA ZUNGU KWA WABUNGE KUHUSU USIMAMIZI WA MISITU YA ASILI NCHINI

Na Omary Machunda , Ofisi ya Bunge DodomaWABUNGE wanaounda Chama cha Wabunge Marafiki wa Mazingira (TAPAFE) wamepewa mafunzo ya kuwajengea uwezo wabunge juu ya usimamizi bora wa misitu ya asili iliyomo nchini.
Akizungumza katika mafunzo hayo Mgeni rasmi ambaye ni Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Mussa Zungu alisema kutokana na kutoweka kwa kasi kwa misitu mingi ya asili, Wizara yake inalo jukumu kubwa kuhakikisha hali hiyo inadhibitiwa kwa kushirikiana na wananchi.
Aidha, Zungu alitoa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Usimamizi mbovu misitu wakosesha bil. 6/-

SERIKALI inapoteza zaidi ya sh bilioni 6 ya mapato kwa mwaka zitokanazo na mazao ya rasilimali ya misitu kutokana na mirabaha midogo na usimamizi mbovu wa leseni za uvunaji. Kaimu...

 

9 years ago

Mtanzania

Misitu ya asili hatarini kutoweka

Na Safina  Sarwatt, Moshi

MISITU ya asili nchini ipo hatarini kutoweka  kutokana na uharibifu wa mazingira unaofanywa na binadamu   na kuongezeka kwa joto.

Kutokana na hali hiyo imeelezwa kuwa kuna ya kuibuka kwa kasi magonjwa ya milipuko yanayosababishwa na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Balozi wa Mabadiliko ya Tabianchi nchini, Mchungaji Profesa Aidani Msafiri alikuwa akizungumza katika kongamano la vijana na viongozi wa dini mjini Moshi.

Alisema kuwa uoto wa asili nchini umetoweka kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

MJUMITA: TUCHAGUE VIONGOZI WATAKAO TETEA USIMAMIZI ENDELEVU WA MISITU

Mtaalam wa Misitu ambae pia anafanya kazi na  Mama Misitu kupitia Jumuiko la Maliasili Tanzania (TNRF), Cassian Sanga akiendesha mjadala wa mada ya kwanza ya usimamizi  endelevu wa rasilimali za misitu nchini.******************
Na Father Kidevu Blog
 Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu nchini (MJUMITA)  leo imeanza mkutano wake Mkuu wa Siku mbili ambao kwanza umeanza na Warsha ya siku moja ya wadau wote wa mtandao huo. Wajum,be na wadau wa Mjumita kesho Agosti 18, watafanya mkutano...

 

9 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:WAZIRI WA MALIASILI PROF. JUMANNE MAGHEMBE AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA MIPANGO WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) NA MAOFISA MISITU WA MIKOA YOTE NCHINI LEO

Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akizungumza katika kikao na Idara ya Misitu na Nyuki pamoja na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika ukumbi wa Ngorongoro Makao Makuu wa Wizara hiyo Mpingo House Jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Januari, 2015. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Meja Jenerali Gaudence Milanzi.Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akizungumza katika kikao na Idara ya Misitu na Nyuki pamoja na Wakala wa Huduma za...

 

9 years ago

Michuzi

NGO YA TANZANIA Mtandao wa Kijamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania ( MJUMITA) YASHINDA TUZO YA UMOJA WA MATAIFA

Na Mwandishi Maalum, New York Mtandao wa Kijamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania ( MJUMITA) ni kati ya Asasi 21 ambazo jana ( jumatatu) zimetangawa kuwa washindi wa Tuzo ya Ikweta (Equator Prize ) kwa mwaka 2015 Tuzo hiyo ya Ikwete hutolewa na Mfuko wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa ( UNDP) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wanaofadhili tuzo hiyo. Kila NGO iliyoshinda Tuzo hiyo inanyakua kitita cha dola 10,000 za Kimarekani. Ushindi wa MJUMITA pamoja na NGO nyingine 20...

 

11 years ago

Michuzi

SSRA YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA SEKTA YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NCHINI

SSRA YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA SEKTA YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NCHINI Ms. Sarah  Kibonde Msika, mkuu  wa mawasiliano  uhamasishaji  wa  mamlaka  ya usimamizi  na udhibiti  wa sekta  ya Hifadhi ya  jamii (SSRA) akizungumza na  wanahabari  leo mjini Iringa  Meneja wa NSSF  mkoa  wa Iringa Bw Marko Magheke akihojiwa na wanahabari  kuhusu warsha hiyo mjini Iringa leo  Washiriki  wa  warsha  ya  NSSRA  wakiwa katika  ukumbi wa  mikutano wa VETA mjini Iringa leo. Kwa picha...

 

11 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDH MHESHIMIWA SAADA MKUYA SALUM (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2014/15

MHESHIMIWA SAADA MKUYA SALUM (MB), AKIWASILI BUNGENI MJINI DODOMA KUWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI  KWA MWAKA 2014/15 LEO. 

 

10 years ago

GPL

HOTUBA YA MHESHIMIWA CECILIA DANIEL PARESSO (MB), MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI WIZARA YA KAZI NA AJIRA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016

Mhe. Cecilia Daniel Paresso (MB). (Inatolewa kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge kanuni ya 99(9) toleo la mwaka 2013). 1.0 Utangulizi
Mheshimiwa Spika,
Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kunilinda na kunitunza ili niweze kutumikia Taifa langu. Napenda kuishukuru familia yangu kwa msaada mkubwa na uvumilivu hasa ninapokuwa katika shughuli zangu za kisiasa. Mheshimiwa Spika,
Napenda kutumia fursa hii,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani