SSRA YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA SEKTA YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NCHINI
SSRA YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA SEKTA YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NCHINI
Ms. Sarah Kibonde Msika, mkuu wa mawasiliano uhamasishaji wa mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa sekta ya Hifadhi ya jamii (SSRA) akizungumza na wanahabari leo mjini Iringa
Meneja wa NSSF mkoa wa Iringa Bw Marko Magheke akihojiwa na wanahabari kuhusu warsha hiyo mjini Iringa leo
Washiriki wa warsha ya NSSRA wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa VETA mjini Iringa leo. Kwa picha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi13 May
11 years ago
Dewji Blog12 May
SSRA wahimizwa kujituma ili mifuko ya hifadhi ya jamii itoe taarifa sahihi kwa wanachama
Mkuu wa Wilayaya Singida, Queen Mlozi
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa Wilaya ya Singida,Queen Mlozi ameihimiza Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kujituma zaidi katika kuhakikisha mifuko mbalimbali ya hifadhi ya jamii inatoa taarifa sahihi kwa wananchi na wanachama watarajiwa juu ya haki zao kabla hawajajiunga.
Amedai kwamba wananchi na wanachama watarajiwa wakizitambua vema haki zao hizo watakuwa wamejengewa uwezo wa kufikia maamuzi sahihi katika kujiunga na...
9 years ago
MichuziSSRA YASHIRIKI MAONESHO YA SIKU YA BAHARI MKOANI MTWARA NA KUTOA ELIMU KWA MABAHARIA NA WAVUVI KUHUSU UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
11 years ago
Dewji Blog13 May
Semina ya uhabarisho wa shughuli za mamlaka ya usimamizi wa sekta ya hifadhi ya jamii katika picha.
Mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi,akifungua semina ya uhabarisho juu ya shughuli za mamlaka ya usimamizi na uthibiti wa sekta ya hifadhi ya jamii (SSRA).wa kwanza kushoto ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassani. na kulia ni mjumbe wa menejimenti na mkuu wa ununuzi wa SSRA,Emmanuel Urembo.
Mjumbe wa menejimenti na ununuzi wa mamlaka ya usimamizi na uthibiti wa sekta ya hifadhi ya jamii (SSRA),Emmanuel Urembo akitoa mada yake ya uhabarisho juu wa SSRA kwa wadau wa mkoa wa Singida...
10 years ago
MichuziWAZIRI KOMBANI AIPA SOMO MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NCHINI.
Na John Nditi, Morogoro
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, ameitaka Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini...
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
SSRA: Wasanii changamkieni mifuko ya jamii
WASANII nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii ili iweze kuwasaidia katika maisha yao ya sasa na ya baadaye. Wito huo ulitolewa mwishoni mwa...