Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Semina ya uhabarisho wa shughuli za mamlaka ya usimamizi wa sekta ya hifadhi ya jamii katika picha.

pic 4Mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi,akifungua semina ya uhabarisho juu ya shughuli za mamlaka ya usimamizi na uthibiti wa sekta ya hifadhi ya jamii (SSRA).wa kwanza kushoto ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassani. na kulia ni mjumbe wa menejimenti na mkuu wa ununuzi wa SSRA,Emmanuel Urembo.

pic5Mjumbe wa menejimenti na ununuzi wa mamlaka ya usimamizi na uthibiti wa sekta ya hifadhi ya jamii (SSRA),Emmanuel Urembo akitoa mada yake ya uhabarisho juu wa SSRA kwa wadau wa mkoa wa Singida...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SSRA YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA SEKTA YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NCHINI

SSRA YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA SEKTA YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NCHINI Ms. Sarah  Kibonde Msika, mkuu  wa mawasiliano  uhamasishaji  wa  mamlaka  ya usimamizi  na udhibiti  wa sekta  ya Hifadhi ya  jamii (SSRA) akizungumza na  wanahabari  leo mjini Iringa  Meneja wa NSSF  mkoa  wa Iringa Bw Marko Magheke akihojiwa na wanahabari  kuhusu warsha hiyo mjini Iringa leo  Washiriki  wa  warsha  ya  NSSRA  wakiwa katika  ukumbi wa  mikutano wa VETA mjini Iringa leo. Kwa picha...

 

10 years ago

Michuzi

Jamii yatakiwa kuwa na nidhamu na usimamizi mzuri katika shughuli za kujiletea maendelo

Jamii imetakiwa kuwa na nidhamu ikiwa ni pamoja na kuwa na usimamizi mzuri katika shughuli za kujiletea maendelo.
Akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo kwa wajasiriamali vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Bw. Manfred Hyera amesema chanzo cha mafanikio katika ujasiriamali nikuwa na nidhamu kwa jamii inayowazunguka kwani kwa kufanya hivyo kutawawezesha kuwaongezea kipato.
Bw.Hyera amesema kitendo cha baadhi ya wajasiriamali kutumia lugha chafu...

 

11 years ago

Zitto Kabwe, MB

HIFADHI YA JAMII KWA SEKTA ISIYO RASMI[1]

HIFADHI YA JAMII KWA SEKTA ISIYO RASMI[1]

Zitto Kabwe[2]

Hifadhi ya Jamii ni sera ya Maendeleo. Ni sera inayolenga kuendeleza Maisha ya Watu na kuhakikisha kuwa Watu wanaofaidika na sera hiyo kutotumbukia kwenye dimbwi la Umasikini. Ni kinga dhidi ya kuporomoka kwa kipato kutokana na kifo, ulemavu au Umri. Wanazuoni wanahusisha Hifadhi ya Jamii na tafsiri ya Maendeleo ambayo inajikita kwenye uwezo (capability) ambapo maendeleo yanahakikishwa hata kama mtu hana uwezo wa kufanya kazi. Kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII YATOA SEMINA KWA ASAKARI POLISI MJINI MOSHI.

Ofisa mnadhimu namba moja wa jeshi la polisi mkao wa Kilimanjaro SSP Koka Moita akichangia jambo wakati wa semina juu ya mifuko ya hifadhi ya jamii iliyotolewa kwa maofisa wa jeshi hilo wa ngazi mbalimbali. Kamanda wa polisi wa wilaya ya Moshi,OCD Deusdedit Kasindo akizungumza jambo wakati wa semina hiyo.
Viongozi wa ngazi ya juu wa jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia maelezo juu ya mifuko ya hifadhi ya jamii.
Baadhi ya askari polisi wa wilaya ya Moshi...

 

9 years ago

Michuzi

MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro yaipiga jeki taswa katika tuzo za Wanamichezo Bora

MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro ( NCAA),  imetoa Sh. 10, 486,000 kwa ajili ya kudhamini tuzo za Wanamichezo Bora waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete. 
Tuzo hizo zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA zinatarajiwa kufanyika Oktoba 8, mwaka huu ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, ambapo pia TASWA itatoa Tuzo ya Heshima kwa Rais Kikwete ikiwa ni kuthamini mchango wake kwa sekta ya michezo katika uongozi...

 

5 years ago

Press

Tume ya Mipango yazindua Mwongozo wa Usimamizi na Utayarishaji wa Miradi ya Uwekezaji katika Sekta ya Umma

Tume ya mipango imezindua kitabu cha Mwongozo wa Usimamizi na Utayarishaji wa Miradi ya Uwekezaji katika sekta ya Umma (Public Investment Management Operational Manual) kwa lengo la kuimarisha utendaji, uwajibikaji na kuleta ufanisi katika matumizi ya rasilimali za umma zinazoelekezwa katika miradi ya maendeleo.

SONY DSC

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango akionesha kitabu cha Mwongozo wa Usimamizi na Utayarishaji wa Miradi ya Uwekezaji katika sekta ya Umma (Public Investment...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Seif akagua shughuli za uwekezaji na hifadhi ya mazingira katika visiwa vya Bawe na Changuu

Msimamizi wa mradi wa uhifadhi wa Makobe katika kisiwa cha Changuu Nd.Suleiman Mnemo akitoa maelezo ya uhifadhi wa viumbe hao adimu duniani kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif aliyetembelea kisiwa cha Changuu. Balozi Seif akikagua baadhi ya majengo ya Hoteli zilizomo ndani ya kisiwa cha Changuu wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za uwekezaji katika sekta ya Utalii . Kulia ya Balozi ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Leisure Hoteli inayoendesha mradi wa hoteli Bawe na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani