HIFADHI YA JAMII KWA SEKTA ISIYO RASMI[1]
HIFADHI YA JAMII KWA SEKTA ISIYO RASMI[1]
Zitto Kabwe[2]
Hifadhi ya Jamii ni sera ya Maendeleo. Ni sera inayolenga kuendeleza Maisha ya Watu na kuhakikisha kuwa Watu wanaofaidika na sera hiyo kutotumbukia kwenye dimbwi la Umasikini. Ni kinga dhidi ya kuporomoka kwa kipato kutokana na kifo, ulemavu au Umri. Wanazuoni wanahusisha Hifadhi ya Jamii na tafsiri ya Maendeleo ambayo inajikita kwenye uwezo (capability) ambapo maendeleo yanahakikishwa hata kama mtu hana uwezo wa kufanya kazi. Kwenye...
Zitto Kabwe, MB
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo24 Oct
Ghasia ataka mifuko ya hifadhi kuifikia sekta isiyo rasmi
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia ameitaka mifuko yote ya hifadhi nchini kujikita zaidi katika kushawishi wanachama kutoka sekta isiyo rasmi hususan kwenye Vyama vya Kuweka na Kukopa (Saccos), Benki za Vijijini (VICOBA) na sekta nyingine.
11 years ago
Michuzi03 Mar
SSRA YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA SEKTA YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NCHINI
9 years ago
Habarileo21 Aug
Ujira sekta isiyo rasmi kuboreshwa
SERIKALI imesema inaendelea kuangalia namna ya kuboresha mishahara kwa wafanyakazi wa sekta isiyo rasmi wapate manufaa ambayo yataweza kubadilisha maisha yao kutoka hatua moja hadi nyingine. Baadhi ya sekta zinazoangaliwa ni pamoja na wajenzi, wafanyakazi wa saluni na madereva wa muda mfupi.
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Sekta isiyo rasmi yachangia GEPF bil. 4/-
TANGU kuanzishwa kwa mpango wa uchangiaji wa hiari kwa sekta zisizo rasmi, Mfuko wa Mafao ya Kustaafu (GEPF) umeweza kuchangiwa sh bilioni 4.43 na sekta hiyo. Mkurugenzi wa Masoko wa...
9 years ago
Mtanzania21 Dec
NEEC yavitaka vikundi sekta isiyo rasmi kujisajili
Na Mwandishi Wetu, Kibaha
BARAZA la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), limevitaka vikundi vya kijamii vilivyo katika mifumo isiyo rasmi kujisajili katika mamlaka za Serikali za Mitaa ili viweze kutambuliwa na kupata fursa mbalimbali.
Hayo yalisemwa na Katibu Mtendaji wa NEEC, Beng’i Issa, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na vikundi vinavyotakiwa kuanza kujisajili kwa ajili ya kutambuliwa na kunufaika na fursa zinazolenga kutolewa na Serikali na taasisi...
11 years ago
Dewji Blog13 May
Semina ya uhabarisho wa shughuli za mamlaka ya usimamizi wa sekta ya hifadhi ya jamii katika picha.
Mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi,akifungua semina ya uhabarisho juu ya shughuli za mamlaka ya usimamizi na uthibiti wa sekta ya hifadhi ya jamii (SSRA).wa kwanza kushoto ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassani. na kulia ni mjumbe wa menejimenti na mkuu wa ununuzi wa SSRA,Emmanuel Urembo.
Mjumbe wa menejimenti na ununuzi wa mamlaka ya usimamizi na uthibiti wa sekta ya hifadhi ya jamii (SSRA),Emmanuel Urembo akitoa mada yake ya uhabarisho juu wa SSRA kwa wadau wa mkoa wa Singida...
11 years ago
Michuzi24 Jun
Waziri mkuu Pinda ahudhuria mkutano wa benki ya dunia,awataka wajasiriamali walioko katika sekta isiyo rasmi kurasimisha biashara zao.
![](https://1.bp.blogspot.com/-GceeY8hOFPo/U6l0uvTQipI/AAAAAAAAPCI/Npz6JYsAL-A/s1600/13.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-xZcLiJnA44w/U6l05D0wcaI/AAAAAAAAPCQ/nuDj13bMuSo/s1600/14.jpg)
11 years ago
Mwananchi19 May
Zitto ahimiza mifuko ya jamii kusaidia sekta zisizo rasmi