Zitto ahimiza mifuko ya jamii kusaidia sekta zisizo rasmi
Sera ya Maendeleo ya Hifadhi ya jamii isipofanyiwa mikakati ya kujumuisha sekta sizizo rasmi nchini umaskini utaendelea kuwa mwiba mchungu na janga la kitaifa katika siku za usoni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi03 Mar
SSRA YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA SEKTA YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NCHINI
11 years ago
Dewji Blog11 Apr
Mkutano wa 32 wa Sekta ya Fedha, Soko la Mitaji na Mifuko ya Jamii (CISNA) wafunguliwa jijini Dar
Mgeni rasmi katika Mkutano wa 32 wa Sekta ya Fedha, Soko la Mitaji na Mifuko ya Jamii (CISNA),Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Peter Ilomo akizungumza wakati akifungua mkutano huo ulioanza jana April 10,2014 katika hoteli ya White Sands,Jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano wa 32 wa Sekta ya Fedha, Soko la Mitaji na Mifuko ya Jamii (CISNA) wakiendelea na Mkutano huo uliofunguliwa rasmi jana April 10,2014 na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Peter Ilomo (katikati mwenye tai nyekundu).
10 years ago
Habarileo24 Oct
Ghasia ataka mifuko ya hifadhi kuifikia sekta isiyo rasmi
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia ameitaka mifuko yote ya hifadhi nchini kujikita zaidi katika kushawishi wanachama kutoka sekta isiyo rasmi hususan kwenye Vyama vya Kuweka na Kukopa (Saccos), Benki za Vijijini (VICOBA) na sekta nyingine.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-tQcRmLVkjj8/U0ZtZbaP8PI/AAAAAAAFZog/dzGsOo9Sp4g/s72-c/1.jpg)
Mkutano wa 32 wa Sekta ya Fedha, Soko la Mitaji na Mifuko ya Jamii (CISNA) wafunguliwa leo jijini dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-tQcRmLVkjj8/U0ZtZbaP8PI/AAAAAAAFZog/dzGsOo9Sp4g/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-tTpJKUvZ0Vs/U0ZuTBRMXEI/AAAAAAAFZp4/7Muv0Yu2x5k/s1600/2.jpg)
11 years ago
Zitto Kabwe, MB15 May
HIFADHI YA JAMII KWA SEKTA ISIYO RASMI[1]
HIFADHI YA JAMII KWA SEKTA ISIYO RASMI[1]
Zitto Kabwe[2]
Hifadhi ya Jamii ni sera ya Maendeleo. Ni sera inayolenga kuendeleza Maisha ya Watu na kuhakikisha kuwa Watu wanaofaidika na sera hiyo kutotumbukia kwenye dimbwi la Umasikini. Ni kinga dhidi ya kuporomoka kwa kipato kutokana na kifo, ulemavu au Umri. Wanazuoni wanahusisha Hifadhi ya Jamii na tafsiri ya Maendeleo ambayo inajikita kwenye uwezo (capability) ambapo maendeleo yanahakikishwa hata kama mtu hana uwezo wa kufanya kazi. Kwenye...
10 years ago
MichuziFISA USTAWI WA JAMII NA MAENDELEO YA JAMII AKITEMBELEA MRADI WA SHIRIKA LA KUSAIDIA WATOTO WA MITAANI JIJINI ARUSHA
.
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Changamoto za mifuko ya hifadhi ya jamii
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Washauriwa kujiunga na mifuko ya jamii
WATANZANIA wenye uwezo wa kufanya kazi, walioajiriwa kwenye sekta mbalimbali na waliojiajiri, wameshauriwa kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii ili kupata mafao bora uzeeni. Kauli hiyo ilitolewa mkoani Kagera...
11 years ago
Habarileo06 Aug
Mbunge ahimiza wasomi kusaidia maendeleo Chalinze
WASOMI wametakiwa kutumia elimu yao kukabili changamoto za kimaendeleo kwenye Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani.