Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano wa 32 wa Sekta ya Fedha, Soko la Mitaji na Mifuko ya Jamii (CISNA) wafunguliwa jijini Dar

MMG20482

Mgeni rasmi katika Mkutano wa 32 wa Sekta ya Fedha, Soko la Mitaji  na Mifuko ya Jamii (CISNA),Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Peter Ilomo akizungumza wakati akifungua mkutano huo ulioanza jana April 10,2014 katika hoteli ya White Sands,Jijini Dar es Salaam.

MMG20499

Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano wa 32 wa Sekta ya Fedha, Soko la Mitaji  na Mifuko ya Jamii (CISNA) wakiendelea na Mkutano huo uliofunguliwa rasmi jana April 10,2014 na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Peter Ilomo (katikati mwenye tai nyekundu).

MMG20523

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mkutano wa 32 wa Sekta ya Fedha, Soko la Mitaji na Mifuko ya Jamii (CISNA) wafunguliwa leo jijini dar

Wajumbe wa Mkutano wa 32 wa Sekta ya Fedha, Soko la Mitaji na Mifuko ya Jamii kwa nchi wanachama wa SADC (CISNA) wakiendelea na Mkutano huo leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.Mkutnao huo umefunguliwa rasmi na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Peter Ilomo (katikati mwenye tai nyekundu). Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Peter Ilomo akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa 32 wa Sekta ya Fedha, Soko la Mitaji na Mifuko ya Jamii kwa nchi wanachama wa SADC (CISNA)...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Fidic Business Day wafunguliwa leo jijini Dar

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Eng. Mussa Ibrahim Iyombe akizungumza wakati wa Kufungua Mkutano wa siku ya Biashara (Fidic Business Day) katika Ukumbi wa hoteli ya Serena,Jijini Dar es salaam leo. Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano huo wakifatilia hotuba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Eng. Mussa Ibrahim Iyombe (hayupo pichani).Picha ya pamoja.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa pili wa mwaka wa Kimataifa wa wataalamu wa kudhibiti Mbu wafunguliwa rasmi leo jijini DAR

MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Utafiti  wa Magonjwa ya Binadamu (NIMRI), Dk.
Mwele Malecela akifungua mkutano huo wa pili wa mwaka wa kimataifa wa wataalam
wa kudhibiti Mbumbu kwa Nchi zisizofungamana Afrika (PAMCA) ulioanza leo jijini
Dar es Salaam. Washiriki wa mkutano huo umeshirikisha Wanasayansi watafiti kutoka nchi mbalimbali za
Afrika. Mkutano wa kwanza wa Kimataifa wa PAMCA ulifanyika jijini Nairobi Kenya 2014.   Dk Malecela amesema kuwa mkutano huu unakutanisha wataalam wa...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA PILI WA MWAKA WA KIMATAIFA WA WATAALAM WA KUDHIBITI MBU WAFUNGULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

MKURUGENZI  Mkuu wa Taasisi ya Utafiti  wa Magonjwa ya Binadamu (NIMRI), Dk. Mwele Malecela akifungua mkutano huo wa pili wa mwaka wa kimataifa wa wataalam wa kudhibiti Mbumbu kwa Nchi zisizofungamana Afrika (PAMCA) ulioanza leo jijini Dar es Salaam.Picha ya pamoja ya washiriki mkutano huo wakiwa na mgeni rasmi.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Mwananchi

Zitto ahimiza mifuko ya jamii kusaidia sekta zisizo rasmi

Sera ya Maendeleo ya Hifadhi ya jamii isipofanyiwa mikakati ya kujumuisha sekta sizizo rasmi nchini umaskini utaendelea kuwa mwiba mchungu na janga la kitaifa katika siku za usoni.

 

11 years ago

Michuzi

SSRA YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA SEKTA YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NCHINI

SSRA YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA SEKTA YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NCHINI Ms. Sarah  Kibonde Msika, mkuu  wa mawasiliano  uhamasishaji  wa  mamlaka  ya usimamizi  na udhibiti  wa sekta  ya Hifadhi ya  jamii (SSRA) akizungumza na  wanahabari  leo mjini Iringa  Meneja wa NSSF  mkoa  wa Iringa Bw Marko Magheke akihojiwa na wanahabari  kuhusu warsha hiyo mjini Iringa leo  Washiriki  wa  warsha  ya  NSSRA  wakiwa katika  ukumbi wa  mikutano wa VETA mjini Iringa leo. Kwa picha...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano wa 67 wa WHA wafunguliwa leo Jijini Geneva,Uswiss

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Mh Dkt. Seif Rashid na Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Mh. Dkt. Juma Duni wakifuatilia kwa Makini Mkutano wa 67 wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHA) uliofunguliwa leo Jijini Geneva,Uswiss na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dr Margareth Chang.Mada kuu ya Mkutano wa mwaka huu ni "The link between climate and health" yaani Uhusiano kati ya mabadiliko ya tabia nchi na Afya.Vile vile pamoja na Mada nyingi zitakazozungumziwa katika...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Mawaziri wa Mifugo wafunguliwa leo jijini Nairobi,Kenya

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,Dr. Titus Mlengeya Kamani (katikati) akishiriki kwenye mkutano wa Mawaziri wenye dhamana ya Mifugo,Mkutano huo umefanyika Katika ukumbi wa mikutano wa AU-IBR Jijini Nairobi, Kenya. Lengo la mkutano ni kujadili Mkakati wa Maendeleo ya Mifugo Afrika kwa kipindi cha 2015-2035Sehemu ya Mawaziri wenye dhamana ya Mifugo wakiwa kwenye Mkutano huo.Picha ya pamoja ya Mawaziri wenye dhamana ya Mifugo.

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MWAKA WA WATAALAMU WA MANUNUZI NA UGAVI WAFUNGULIWA JIJINI ARUSHA.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wataalamu wa Manunuzi na Ugavi nchini(PSPTB)Dk Hellen Bandiho akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Wataalamu unaofanyika kwenye ukumbi wa mikutano ya kimataifa wa AICC jijini Arusha na kusisitiza miiko ya uadilifu katika manunuzi ya umma na sekta binafsi.
Mjumbe wa Bodi ya Wataalamu wa Manunuzi na Ugavi nchini(PSPTB)Ahmed Kilima akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Wataalamu unaofanyika kwenye ukumbi wa mikutano ya kimataifa wa AICC...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani