SSRA wahimizwa kujituma ili mifuko ya hifadhi ya jamii itoe taarifa sahihi kwa wanachama
Mkuu wa Wilayaya Singida, Queen Mlozi
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa Wilaya ya Singida,Queen Mlozi ameihimiza Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kujituma zaidi katika kuhakikisha mifuko mbalimbali ya hifadhi ya jamii inatoa taarifa sahihi kwa wananchi na wanachama watarajiwa juu ya haki zao kabla hawajajiunga.
Amedai kwamba wananchi na wanachama watarajiwa wakizitambua vema haki zao hizo watakuwa wamejengewa uwezo wa kufikia maamuzi sahihi katika kujiunga na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi13 May
11 years ago
Michuzi03 Mar
SSRA YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA SEKTA YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NCHINI
9 years ago
MichuziSSRA YASHIRIKI MAONESHO YA SIKU YA BAHARI MKOANI MTWARA NA KUTOA ELIMU KWA MABAHARIA NA WAVUVI KUHUSU UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
10 years ago
Tanzania Daima06 Nov
Mbunge ahoji hisa wanachama mifuko hifadhi ya jamii
MBUNGE wa Morogoro Vijijini, Dk, Lucy Nkya (CCM), ametaka kujua ni kwanini wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii hawapewi hisa inayotokana na miradi iliyowekezwa kupitia michango yao. Mbunge huyo,...
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
SSRA: Wasanii changamkieni mifuko ya jamii
WASANII nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii ili iweze kuwasaidia katika maisha yao ya sasa na ya baadaye. Wito huo ulitolewa mwishoni mwa...
11 years ago
MichuziMIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII YATOA SEMINA KWA ASAKARI POLISI MJINI MOSHI.
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
Wananchi wahimizwa kujiunga mifuko ya jamii
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka, amewataka wanachama wapya kujiunga kwa wingi kwenye mifuko hiyo kwa sababu muda si...