Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miaka 38 ya CCM mjini Songea

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wakati akiingia kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM ambapo kitaifa zimefanyika mkoa wa Ruvuma.

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na kijana wa chipukizi mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea kwenye sherehe za  maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa kwa  CCM.

Baadhi ya viongozi wakiwasili kwenye uwanja wa Maji...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MIAKA 38 YA CCM YATIA FORA MJINI SONGEA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wakati akiingia kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCMMsanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond akiiingia uwanja wa maji maji akiwa juu ya gari.Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria.Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na kijana wa chipukizi mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea kwenye sherehe za maadhimisho ya...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM ZAFANA SANA MJINI SONGEA LEO


Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya MrishoKikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi wakati akiingia katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais JakayaMrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo katika kilele cha shereheza kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCMMwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM MJINI SONGEA LEO

Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi wakati akiingia katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa viongozi mbali mbali wa CCM wakati akiingia katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM,Rais...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ ATUA NA ZARI MJINI SONGEA, APIGA SHOO KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM

  Diamond Platnumz na madansa wake wakifanya vitu vyao kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea wakati wa sherehe za miaka 38 ya CCM leo.  …

 

10 years ago

Vijimambo

NAPE AANZA AMSHA-AMSHA YA MIAKA 38 YA CCM MJINI SONGEA

 Wananchi wakiwa katika shamrashamra za kumpokea Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye leo kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Ruvuma mjini Songea leo, alipowasli kwa ajili ya kuanzisha amsha amsha ya Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM ambayo inafanyika Jumapili hii, Kitaifa mjini Songea kwa kuongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete. Mratibu wa Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM, Emaanuel John Nchimbi akiwasili kwenye Ofisi hiyo ya CCM mkoa wa Ruvuma leo kumpokea Nape Katibu wa NEC,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maandalizi ya maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yakamilika Songea

 Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika mazoezi ya gwari, karate na halaiki kwenye Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo wakati wa maandalizi ya maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM yanayofanyika kitaifa kesho Mkoani Ruvuma ambapo mgeni rasmi atakuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari, kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea,...

 

10 years ago

Michuzi

PINDA, MANGULA NA KINANA WAWASILI SONGEA KUSHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akilakiwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Songea, jioni ya leo tayari kushiriki maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM yanayofanyika kitaifa kesho Mkoani Ruvuma ambapo mgeni rasmi atakuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete.Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG Pinda akiwapungia mkono wananchi na wana CCM waliofika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani