Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miaka 52 baada ya uhuru; Viwanda vikubwa ni asilimia 0.4

Ni mwaka wa 52 sasa tangu nchi ipate uhuru, lakini hali ya maendeleo ya kiuchumi kwa ujumla inaonekana kutokua kwa kasi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

FIHIR NVUBGI; HUYU NDIYE DIWANI ALIYEANZA KUONGOZA KATA YA MSANGENI MIAKA MITATU BAADA YA NCHI TANZANIA KUPATA UHURU HADI LEO

*Hajawahi kung'atuka wala kuondolewa, afikiria kugombea tena mwaka huu, azungumzia thamani ya Mzee Msuya wilayani Mwanga

Charles James, Michuzi TV

JINA lake ni Fihir Mvungi, umri wake ni miaka 80. Ameongoza kwa miaka 55 kama Diwani wa Kata ya Msangeni iliyopo wilayani Mwanga, Kilimanjaro.

Ndio. Unaweza kusema Mvungi ndiye kiongozi wa kuchaguliwa ambaye amehudumu kwenye nafasi yake kwa muda mrefu bila kung'atuka wala kuondolewa na wananchi.

Katika mahojiano maalum ambayo amefanya na Michuzi...

 

11 years ago

GPL

RAIS JK AWASILI UWANJA WA UHURU KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA

Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Uhuru kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika hivi punde. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa sasa amewasili katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kuongoza maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika uliopatikana Desemba 9, 1961.

 

10 years ago

Michuzi

SEKTA ZA KILIMO,VIWANDA NA BIASHARA ZAKUZA PATO LA TAIFA KWA ASILIMIA 6.9

Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Bw. Morrice Oyuke (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ukuaji wa Pato la Taifa kwa bei ya Soko leo jijini Dar es salaam. Wengine ni Bw. Fred Matola, Mtakwimu Mkuu Takwimu za Uchumi (kushoto), Bi. Adella Ndesangia (wa pili kutoka kulia) ambaye ni Mtwakimu Mkuu wa Ofisi hiyo na Bi. Jovitha Rugemalila.
Na. Aron Msigwa – MAELEZO
Sekta za Kilimo,Viwanda, Biashara za jumla na rejareja zimetajwa kuongoza katika...

 

10 years ago

GPL

SEKTA ZA KILIMO, VIWANDA NA BIASHARA ZAKUZA PATO LA TAIFA KWA ASILIMIA 6.9

Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Bw. Morrice Oyuke (katikati) akizungumza  na waandishi wa habari kuhusu ukuaji wa Pato la Taifa kwa bei ya Soko leo jijini Dar es salaam. Wengine ni Bw. Fred Matola, Mtakwimu Mkuu Takwimu za Uchumi (kushoto), Bi. Adella Ndesangia (wa pili kutoka kulia) ambaye ni Mtwakimu Mkuu wa Ofisi hiyo na Bi. Jovitha Rugemalila.    Na. Aron Msigwa –… ...

 

9 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAUNGANA NA KAMPUNI YA SARUJI YA DANGOTE KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU NA BAADAE BONANZA LA MICHEZO KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU WA TANZANIA

Mkuu wa Kitengo cha masoko kutoka GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akiongoza timu ya wafanyakazi wa Mfuko pamoja na wafanyakazi wa Dangote kufanya usafi katika maeneo ya soko la Mbae na Ufukoni mkoni Mtwara katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania na kutekeleza agizo la Mh Rais John Pombe Magufuli la kuhakikisha watanzania wanafanya usafi katika maeneo yao.Zoezi la kufanya usafi katika maeneo ya soko la Mbae na Ufukoni mkoni Mtwara likiendelea ikiwa ni katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru...

 

10 years ago

Dewji Blog

Asilimia 70 ya wagonjwa wa saratani hupoteza maisha katika nchi zinazoendelea — Mhe. Uhuru Kenyatta

12_7

Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta akitambulishwa wake wa marais kutoka nchi mbalimbali za Afrika na Mkewe mama Margaret Kenyatta  kabla ya kufungua mkutano wa tisa wa Jukwaa la wake wa marais wa Afrika la kutokomeza magonjwa ya saratani za mfumo wa uzazi ambazo ni mlango wa kizazi, matiti na tezi dume unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Kenyatta (KICC) uliopo mjini Nairobi. Kushoto ni Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete.

CKV9RFDWoAA1kFz

Na Anna Nkinda –...

 

5 years ago

BBCSwahili

Madada wa Cambodia wenye miaka 98 na 101, wakutana tena baada ya miaka 47

Madada hao walionana kwa mara ya mwisho mwaka 1973 na kila mmoja alidhani mwenzake alikufa chini ya utawala wa Khmer Rouge.

 

9 years ago

Mwananchi

Ujangili wapoteza asilimia 67 ya tembo kwa miaka minne

Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika kuadhimisha Siku ya Tembo Duniani, ambayo huadhimishwa Septemba 22 ya kila mwaka, mwaka huu yakitimiza miaka 15 .

 

10 years ago

Vijimambo

MIAKA 66 YA UHURU WA INDIA

Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akipandisha Bendera ya India kuadhimisha Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66 ya Uhuru wa Nchi hiyo, maadhimisho hayo yamefanyika katika Ofisi za Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar. Balozi Mdogo wa India Zanzibar,Balozi Satendar Kumar, akitowa heshima wakati upandishaji wa Bendera ya India kuadhimisha Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66 ya Uhuru wa Nchi hiyo kwa Zanzibar yameadhimishwa katika viwanja vya Obalozi Mdogo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani