Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FIHIR NVUBGI; HUYU NDIYE DIWANI ALIYEANZA KUONGOZA KATA YA MSANGENI MIAKA MITATU BAADA YA NCHI TANZANIA KUPATA UHURU HADI LEO

*Hajawahi kung'atuka wala kuondolewa, afikiria kugombea tena mwaka huu, azungumzia thamani ya Mzee Msuya wilayani Mwanga

Charles James, Michuzi TV

JINA lake ni Fihir Mvungi, umri wake ni miaka 80. Ameongoza kwa miaka 55 kama Diwani wa Kata ya Msangeni iliyopo wilayani Mwanga, Kilimanjaro.

Ndio. Unaweza kusema Mvungi ndiye kiongozi wa kuchaguliwa ambaye amehudumu kwenye nafasi yake kwa muda mrefu bila kung'atuka wala kuondolewa na wananchi.

Katika mahojiano maalum ambayo amefanya na Michuzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

JK kuongoza maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru leo

‘Happy birthday Tanganyika’. Miaka 52 imetimia tangu Tanganyika (sasa Tanzania), kupata uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza, Desemba 9, mwaka 1961.

 

10 years ago

Vijimambo

SABABU 4 ZA KIJANA HUYU KUWEZA KUONGOZA TAIFA LA TANZANIA MIAKA 5 IJAYO

SABABU NNE WANAZOSIMAMIA WANANCHI KUWA RAIS WA AWAMU YA TANO(2015-2025) NI MWIGULU NCHEMBA. Na,Julius Mathias.
Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amebainisha sababu nne zinazowafanya wananchi wampendekeze kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba. Nchemba aliyasema hayo jana kwenye mahojiano
wakati wa kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV kuhusu tafiti zinazofanywa juu ya kukubalika kwa baadhi ya watia nia ya urais miongoni mwa wananchi wanaomtaja.
...

 

11 years ago

GPL

RAIS JK AWASILI UWANJA WA UHURU KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA

Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Uhuru kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika hivi punde. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa sasa amewasili katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kuongoza maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika uliopatikana Desemba 9, 1961.

 

11 years ago

CloudsFM

HUYU NDIYE MTOTO ALIYEFICHWA UVUNGUNI MWA KITANDA MIAKA SITA

SAKATA la mtoto Devota Malole mwenye umri wa miaka mitano, ambaye ni mlemavu aliyeibuliwa baada ya kufichwa chini ya uvungu wa kitanda kwa muda wa miezi mitatu huko Matongolo, Dumila,Tarafa ya Magole wilayani Kilosa limeibua mambo mapya, baada ya kubaini kuwa aliyesababisha kuokolewa ni mume wa mama wa binti huyo.
Mashuhuda waliokuwepo wakati wa kufichuliwa kwa mtoto huyo, wakiwemo majirani na wapangaji wa nyumba aliyokuwa akiishi, walisema mpangaji wa chumba hicho, Masumbuko Mkwama (25),...

 

9 years ago

Bongo5

Hapa Kazi Tu: Said Fella achimba visima vilivyokwama kwa miaka mitatu kwenye kata ya Kilungule (Picha)

20151130234938

Kasi ya Rais Dkt John Magufuli ya kupiga kazi tu imewaambukiza viongozi wengi.

20151130234938

Muasisi wa Mkubwa na Wanawe, Said Fella ambaye pia ni diwani wa kata ya Kilungule ya wilayani Temeke, Dar es Salaam ameanza kutekeleza ahadi zake.

Fella ameiambia Bongo5 kuwa ameanza kwa kuvirejesha visima vilivyokuwa vimeshindwa kutoa maji kwa miaka mitano iliyopita. Chini ni picha za kazi hiyo.

Amesema wakati wa kampeni aliahidi kuwa angeanza kushughulikia kero ya maji kwenye kata yake ndani ya siku 30....

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mwananchi

Papa Francis: Nitakufa baada ya miaka miwili au mitatu

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis kwa mara ya kwanza ametabiri hatima ya maisha yake duniani akisema kuwa anaamini Mungu anaweza kumpa muda wa miaka miwili au mitatu ya kuishi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani