Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MICHEPUKO: MWANAUME ANG'ATWA SEHEMU NYETI AKILAZIMISHA KUFANYA MAPENZI NA RAFIKI WA MKEWE

Maria Ionita akiwa na mumewe, Florin Ionita hospitalini. MWANAUME aitwaye Florin Ionita, 53, ameng'atwa sehemu yake nyeti na rafiki wa mkewe wakati akijaribu kumlazimisha afanye naye mapenzi. Wauguzi waliokuwa wakimpatia huduma Florin Ionita. Florin Ionita na mkewe Maria Ionita, 49, walikuwa katika karamu huko Chisinau nchini Moldova wakiwa na rafiki wa mkewe. Baada ya karamu hiyo, Maria aliamua kuwapeleka baadhi ya marafiki...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

RAY C ANG’ATWA NA PAKA KUFA NDANI YA SIKU 97!

Staa anayetamba na ngoma mpya ya ‘Nshumu nshumu’, Rehema Chalamila ‘Ray C’ hivi k aribuni alijikuta katika wakati ngumu baada ya kuvamiwa na paka na kumng'ata kwenye mguu.Sosi wa habari hii alisema kuwa Paka yule alikuwa eneo la Methadone Mwananyamala Hospitali ambapo mwanamuziki huyo anakunywa dawa. Staa anayetamba na ngoma mpya ya ‘Nshumu nshumu’, Rehema Chalamila ‘Ray C’. ...

 

10 years ago

GPL

UNANG'ANG'ANIA KUPENDA USIKOPENDEKA ILI IWEJE? - 2

WIKI iliyopita tuliianza mada hii ambayo inatufundisha juu ya kutong’ang’ania kupenda pasipopendeka. Unampenda mtu wakati yeye moyo wake haupo kwako, utateseka bure wakati mwenzako wala hayajui mateso unayopitia. Utaambulia maumivu yatakayokugharimu kwa kiasi kikubwa usipokuwa makini, leo tumalizie mada hii kwa kutazama madhara ya kung’ang’ania penzi hilo.
TUENDELEE…...

 

11 years ago

GPL

DIDA AZUA TIMBWILI BAADA YA KUNG'ANG'ANIWA NA MWANAMKE MWENZAKE

Stori: Richard Bukos DUNIA ina mambo! Prizenta wa Radio Times FM, Hadija Shaibu ‘Dida’ amezua timbwili baada ya kung’ang’aniwa na mwanamke mwenzake aliyedaiwa kutaka kumshawishi afanye naye mapenzi ya jinsi moja (usagaji). Prizenta wa Radio Times FM, Hadija Shaibu ‘Dida’ Dida alikumbwa na ishu hiyo, Alhamisi ya wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar, wakati...

 

11 years ago

GPL

MUME AFYEKA NYETI ZA MKEWE

UNYAMA wa kutisha! Gasto Edward (32) amemkata mkewe Mwelu Raymond sehemu zake za siri, Risasi Jumamosi lina simulizi hii ya kusikitisha. Tukio hilo lilitanguliwa na kumpiga mkewe huyo na kipande cha nondo kichwani hali iliyosababisha apoteze fahamu papo hapo na kutekeleza azma yake. Bwana Gasto Edward na mkewe ambaye anadaiwa kumkata nyeti zake. Imeelezwa kuwa, tukio hilo lenye sura ya majonzi, lililovuta hisia za watu wengi...

 

9 years ago

GPL

TRICH; HUSHAMBULIA SEHEMU NYETI-2

Leo naendelea kuelezea dalili za ugonjwa wa Trich unaoshambulia maeneo nyeti, ungana nami. Dalili nyingine ni kuwasha sehemu za siri, kupata maumivu chini ya kitovu.Wanawake wengine wanaweza kuwa na vimelea hivi na wakaishi navyo kwa mwaka mzima bila kugundua kama hawatakwenda kupimwa. DALILI KWA WANAUME Kwa upande wa wanaume, vimelea hivi vya ugonjwa huu hupatikana katika sehemu za siri nje ya mrija wa kupitisha mkojo yaani...

 

9 years ago

GPL

TRICH; HUSHAMBULIA SEHEMU NYETI-3

Leo nitaelezea madhara ya ugonjwa wa Trich na namna unavyobainika kwa vipimo mbalimbali na tiba, ungana nami.Vipimo vya ugonjwa huu ni vingi kama vile kipimo cha damu kuchunguza Prostate Specific Antigen (PSA): PSA ni aina ya protini inayozalishwa na seli za tezi dume. Kipimo cha Pap smear ambacho hupima chembechembe au seli za shingo ya kizazi ambazo huchukuliwa na kuchunguzwa kwa kutumia darubini. Kipimo hiki pia hutumiwa...

 

10 years ago

GPL

MAMA KANUMBA, LULU NDANI YA FILAMU MPYA IITWAYO 'MAPENZI YA MUNGU'

Hivi karibu Msanii Mahiri na Nguli katika tasnia ya filamu nchini Elizabeth Michael almaarufu kama LULU ataibuka na filamu yake Mpya na yenye kusisimua iitwayo 'MAPENZI YA MUNGU' ambapo moja kati ya washiriki katika filamu hiyo ni Bi Flora Mtegoha ambae ni Mama Mzazi wa aliyekuwa Msanii Nguli wa Kiume Hapa Bongo Marehemu Steven Kanumba. Filamu ya 'Mapenzi ya Mungu' ni moja ya filamu ambayo Lulu ameonyesha uwezo wa hali ya na...

 

10 years ago

GPL

MUME AMKATA NYETI MKEWE AZIUZE MIL. 5

Na Mwandishi Wetu, Tabora Unyama wa kutisha kisa utajiri! Mwanamke mwenye umri wa miaka 60 (pichani jina linahifadhiwa), anadai kukatwa sehemu zake za siri (nyeti) na mumewe aliyemtaja kwa jina moja la Mashaka ili akauze Sh. milioni tano za Kitanzania akauze kwa mganga wa kienyeji ili apate mtaji. Mwanamke mwenye umri wa miaka 60 aliyekatwa sehemu zake za siri (nyeti) na mumewe anayefahamika kwa jina moja la Mashaka. Kwa mujibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani