Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAY C ANG’ATWA NA PAKA KUFA NDANI YA SIKU 97!

Staa anayetamba na ngoma mpya ya ‘Nshumu nshumu’, Rehema Chalamila ‘Ray C’ hivi k aribuni alijikuta katika wakati ngumu baada ya kuvamiwa na paka na kumng'ata kwenye mguu.Sosi wa habari hii alisema kuwa Paka yule alikuwa eneo la Methadone Mwananyamala Hospitali ambapo mwanamuziki huyo anakunywa dawa. Staa anayetamba na ngoma mpya ya ‘Nshumu nshumu’, Rehema Chalamila ‘Ray C’. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MICHEPUKO: MWANAUME ANG'ATWA SEHEMU NYETI AKILAZIMISHA KUFANYA MAPENZI NA RAFIKI WA MKEWE

Maria Ionita akiwa na mumewe, Florin Ionita hospitalini. MWANAUME aitwaye Florin Ionita, 53, ameng'atwa sehemu yake nyeti na rafiki wa mkewe wakati akijaribu kumlazimisha afanye naye mapenzi. Wauguzi waliokuwa wakimpatia huduma Florin Ionita. Florin Ionita na mkewe Maria Ionita, 49, walikuwa katika karamu huko Chisinau nchini Moldova wakiwa na rafiki wa mkewe. Baada ya karamu hiyo, Maria aliamua kuwapeleka baadhi ya marafiki...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA ATINGA BUMBULI, ANG'AKA KIWANDA CHA CHAI KUFA MPONDE, ATAKA VIONGOZI WALIOHUSIKA WAWAJIBISHWE.













Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika kata ya Mponde, akiwa katika ziara ya kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua, katika jimbo la Bumbuli, wilayani Lushoto mkoani Tanga,  Septemba 29, 2014.      Akizungumza na mamia ya wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Kijiji cha Mponde, Kinana ameitaka serikali kuwachukulia hatua za kisheria viongozi wote waliohusika kwa namna moja au nyingine...

 

11 years ago

Mwananchi

Wang’ang’ania kuishi ndani ya hifadhi ya Taifa

Hifadhi ya Taifa ya Saadani iliyopo wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani imeingia katika mgogoro na Kitongoji cha Uvinje kilichomo ndani ya hifadhi hiyo.

 

11 years ago

GPL

RAY C SIKU 730 HOSPITALINI

Stori: makongoro oging’
IMEELEZWA kwamba, nyota wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ (pichani) anatakiwa kuendelea kuhudhuria kliniki kila siku katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar kwa siku 730 (miaka miwili) bila kukosa hata siku moja kufuatia athari ya matumizi ya madawa ya kulevya kinyume cha hapo ni kuhatarisha maisha yake. Nyota wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ Taarifa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CCM ang’ang’ania mil. 100/-

MBUNGE wa Viti Maalumu, Devotha Likokola, (CCM) anadaiwa kung’ang’ania sh milioni 100 zilizoingizwa katika akaunti yake kwa ajili ya kuwasaidia walemavu. Fedha hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa Kampuni za IPP,...

 

9 years ago

Habarileo

Muhongo ang'ang'ania bei ya umeme ishuke

 WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter M u h o n g o , ameendelea kung’ang’ania bei ya umeme ishuke, ambapo jana ameagiza taasisi zilizo chini ya wizara hiyo, ifikapo Januari mwakani wawe wamempelekea mapendekezo ya kushuka kwa bei ya nishati hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Padri Mkatoliki ang’ang’aniwa kortini

KESI inayomkabili Padri Deogratius Makuri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Singida kushindwa kutoa matunzo kwa mwanawe, juzi iliahirishwa tena kwa mara ya tatu baada ya mlalamikiwa kushindwa kufika mahakamani.

 

11 years ago

Habarileo

Lipumba ang’ang’ania hoja ya Ukawa

Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim LipumbaPAMOJA na mwito wa Rais Jakaya Kikwete, wasomi na wanasiasa wakongwe na mashuhuri nchini, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba ameweka bayana kuwa chama chake na washirika wengine wanaounda kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), hawatorejea kwenye Bunge Maalum la Katiba.

 

10 years ago

Habarileo

Kafulila ang’ang’ana mabehewa feki

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR Mageuzi) ameitaka Serikali kuwasilisha bungeni taarifa ya kashfa ya ununuzi wa mabehewa feki katika Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) na kusababisha hasara ya Sh bilioni 230.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani