RAY C SIKU 730 HOSPITALINI
![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yIMM0nQ11N7ns8i0vzcWio9rI18iUWGhNfwQXlrFsQ9gwC1xSKvkE334By2Lv6yHUM2LiqzSuGWz-etHMsGbJZc/rayc.jpg)
Stori: makongoro oging’ IMEELEZWA kwamba, nyota wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ (pichani) anatakiwa kuendelea kuhudhuria kliniki kila siku katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar kwa siku 730 (miaka miwili) bila kukosa hata siku moja kufuatia athari ya matumizi ya madawa ya kulevya kinyume cha hapo ni kuhatarisha maisha yake. Nyota wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ Taarifa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm8kIJYeSn6hs5iD-oDC4QBC0VPNp2nUWE62ay3kQOw-DwzRqtMLcyI97csnxreRZVSQXh1q-lF9BGctzgYB1PDX/mtoto.jpg)
MTOTO ATESWA SIKU 730!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FsV0PLw632pgHkB03r1q0uJhpVLjkHXdt8iaEZDxWDTD9qsoc*wq4UwWj-Yg6hMtvw6d2M67qLwocWup96-QMPdXeugIrfly/BACK.jpg?width=650)
ALIYEMTESA HAUSIGELI SIKU 730 AHENYESHWA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqph945LI8pkR8H1sr9U*IJGaRjDytAP7xFD*983u5BtUs916WW-kvemcj70X1jjjINv3miZ6I1kuKIRK-ClnwaX/mzeesmall.jpg?width=650)
SIKU 730 ZA MATESO YA MZEE SMALL
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DBD4PE5EidUIvgkb*4K90WHyw6JNd8SPfXNdLxeHl4e*te8jaH4E3d8TUSHLCZIifS8J3H4I-VcIk1k44kXD2IOpwSB5th*C/mtoto.jpg?width=650)
MTOTO ALIYETESWA SIKU 730 ATOROSHWA
11 years ago
GPL13 Jul
ALIYEMTESA MTOTO KWA SIKU 730 AKOSA DHAMANA, ARUDISHWA RUMANDE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzn4ICuAlE5ijnLQXcqEgp5mdqvVrma-LGkCmboMjJL*sgAXQF*k63rzSFDTzBNwSe*bW03dUgqwGr4wcEhqHILzriTkfsfY/Back1.jpg)
RAY C ANG’ATWA NA PAKA KUFA NDANI YA SIKU 97!
10 years ago
Bongo Movies25 Jan
Irene Uwoya:Siku Zote Niatamuheshimu Ray, Ni Mtu Muhimu Sana Kwangu
‘Shukrani’ ni kitu muhimu na ni jambo jema sio hapa dunia tu hata huko mbinguni (Kwa wanoamini), ni vyema kumshuru Mungu kwa kila jambo na vile vile kuwashukuru watu ambao kwa namna moja au nyingine wamekusaidia kufikia hapo ulipo.
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Irene Uwoya amekuwa sio mchoyo wa fadhira kwa kumshukuru hadharani muongozaji na mwigizaji wa filamu Vicent Kigosi ‘Ray’ kwa kuwa ni moja ya watu waliomsaidia katika sanaa.
Kupitia ukurasa wake wa kwenye mtandao wa INSTAGRAM,...
10 years ago
Bongo Movies15 Feb
Ray Feki Awatapeli Watu Facebook, Ray Waukweli Atoa Angalizo!
“Wadau na wasanii wote mnaotaka kuigiza msidanganyike na account hii ya Facebook SIYO YANGU NI FAKE.
Maana napata tabu sana Ofisini kwangu watu wanakuja kudai Hela wakisema kuwa Eti Mimi nimetangaza usahili kupitia kwenye account hiyo hapo juu fake Kuwa nahitaji wasanii ni uongo mtupu mnaibiwa pesa zenu na namba anayotumia kuwaibia Watu Hela ni hiii hapa 0779 946440.
Msidanganywe ni matapeli hao Mimi Sijatangaza Chochote kwenye Facebook. Im done hope That You Have All understood...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcreM0c1gpUfwU*9fPZNSDp8jEe7K2VgKoF3-EGhGeUqn-mbVKjY6ZF*n2qfJYVD2zHLWAi9COROLFB4wrXpzx-d/chuhcu.jpg?width=650)
CHUCHU AJICHORA TATUU YA RAY, RAY AJIBU