Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MICHEZO YA BANDARI “INTER-PORTS GAMES” KUFIKIA KILELE KESHO IJUMAA, DISEMBA 05 MJINI MTWARA

Timu kutoka Bandari za Maziwa ikiingia uwanjani.Mashabiki wakiwa uwanjani.Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Ponsiano Nyami akiikagua timu ya Bandari ya Dar es Salaam kabla ya kuwavaa Bandari Mtwara.Timu ya kuvuta kamba kutoka Bandari ya Dar es Salaam wakimenyana na wenzao wa Bandari Mtwara.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MICHEZO YA BANDARI 2014 MJINI MTWARA YAFUNGLIWA RASMI

 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Ponsiano Nyami akizungumza na wanamichezo wa Bandari.
Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA ambaye pia ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Bw. Peter Gawile akizungumza na wanamichezo wa Bandari.
 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Ponsiano Nyami akiikagua timu ya Bandari ya Dar es Salaam kabla ya kuwavaa Bandari Mtwara. Timu ya kuvuta kamba kutoka Bandari ya Dar es Salaam wakimenyana na wenzao wa Bandari Mtwara. Timu ya kuvuta kamba kutoka Bandari Mtwara...

 

9 years ago

TheCitizen

Inter-Parliamentary Games: Where are TZ teams?

The Inter-Parliamentary Games for the East African Community (EAC) partner states entered its second week in Kigali, Rwanda with no reported victory by the Tanzania teams or individual players.

 

9 years ago

Global Publishers

9 years ago

Michuzi

INTER-PARLIAMENTARY GAMES BEGINS, …razor hot Kenya and speedy Rwanda off the starting blocks in style

East African Legislative Assembly, Kigali, Rwanda, December 7, 2015:  The 6th Inter-Parliamentary Games have commenced in Kigali, Rwanda with tug-of-war and athletic disciplines taking off to a competitive start.
In athletics, Senator Isaac Melly of Kenya made a dash to the line in 11.67 seconds to win the 100 metres race with compatriot, Hon David Ochieng coming in second thirty seconds later.   Former Boston Marathon Champion, Hon Wesley Korir comfortably won the 800 meters race on 2...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kenya kufikia kilele cha maambukizi baina ya Agosti na Septemba

Wizara ya Afya Kenya imetahadharisha wananchi kuwa huenda ikashuhudia idadi ya juu zaidi ya maambukizi huku kilele chake kikitarajiwe Agosti na Septemba.

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band inakukaribisha Thai Village Ijumaa hii katika msimu huu wa mapumziko mwezi Disemba

DSC_0001

Divas wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya viunga vya Thai Village Masaki wakiongozwa na Meneja wa Band Aneth Kushaba AK47 (katikati), Digna Mbepera (kulia) pamoja na Bela Kombo.

DSC_0016

Aneth Kushaba AK47 sambamba na Bela Kombo wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam.

DSC_0025

Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa bongo akifanya yake jukwaani kwa mashabiki wa Skylight Band huku akisindikizwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya michezo ya jana Jumamosi, Disemba 13 katika ligi kubwa tano (5) barani Ulaya

football-ground

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Barani Ulaya hapo jana ligi mbalimbali barani Ulaya zimeendelea kwa michezo mbalimbali, Modewjiblog imekuandalia matokeo ya michezo hiyo;

UINGEREZA – PRIMIER LEAGUE

Norwich 1 – 1 Everton

Crystal Palace 1 – 0 Southampton

Manchester City 2 – 1 Swansea

Sunderland 0 – 1 Watford

West Ham United 0 – 0 Stoke City

AFC Bournemouth 2 – 1 Manchester United

HISPANIA – LA LIGA

Barcelona 2 – 2 Deportivo La Coruna

Certa Vigo 1 – 0 Espanyol

Levante 1 – 2 Granada

Sevilla 2 – 0...

 

10 years ago

Michuzi

GULIO LA VODACOM KUFIKIA TAMATI KESHO

Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania Jessam Jeremia akiwapa maelekezo baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliofika kwenye gurio la “Vodacom expo” lilioandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuwauzia bidhaa mbalimbali za mawasiliano kwa bei nafuu.Gurio hilo linafanyika kwa siku mbili mfululizo katika viwanja vya Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam waliofika kwenye viwanja vya Kijitonyama kwenye gurio la Vodacom Expo wakionyeshwa baadhi ya simu na...

 

9 years ago

Habarileo

Dangote ‘kufumua‘ bandari ya Mtwara

UWEZO wa bandari ya Mtwara unatarajiwa kuongezeka mara dufu kufuatia kufunguliwa rasmi kwa kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko vyote Afrika Mashariki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani