GULIO LA VODACOM KUFIKIA TAMATI KESHO
![](http://3.bp.blogspot.com/-tDzczHZP2nM/VbztgmbEeAI/AAAAAAAHtGI/LLTppXsMx7o/s72-c/001.GULIO.jpg)
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania Jessam Jeremia akiwapa maelekezo baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliofika kwenye gurio la “Vodacom expo” lilioandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuwauzia bidhaa mbalimbali za mawasiliano kwa bei nafuu.Gurio hilo linafanyika kwa siku mbili mfululizo katika viwanja vya Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam waliofika kwenye viwanja vya Kijitonyama kwenye gurio la Vodacom Expo wakionyeshwa baadhi ya simu na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog15 Feb
Sauti za Busara 2015 kufikia tamati leo
Wasanii kutunukiwa tuzo za amani
Na Andrew Chale, modewji blog, Zanzibar
Tamasha kubwa la Kimataifa la muziki linalofanyika kila mwaka visiwani hapa la Sauti za Busara, linatarajiwa kufikia tamati usiku wa leo Februari 15 huku zikitarajiwa kutolewa tuzo za amani kwa washindi.
Tamasha hilo kwa mwaka huu ni la 12, limezidi kuwa la mafanikio kwa kuweza kukusanya umati mkubwa wa mashabiki waliotoka sehemu mbalimbali duniani.
Tamasha hillo lilianza Ahamisi ya Februari 12, kwa shamra shamra...
10 years ago
Bongo518 Oct
Mashindano ya Pool Table Afrika kufikia tamati leo Dar
10 years ago
Dewji Blog31 Jan
Maonyesho ya Tanzania Buildex International Trade Exhibition kufikia tamati leo
CEO wa TRADEX Corporation, Frank A.P.M Bruurs, akionesha wateja (hawapo pichani) namna ya bidhaa zao zinazopatikana Netherlands na Ujerumani- s-Hertogenbosch wakati wa maonesho ya Tanzania Buildex International Trade Exhibition, Mlimani City.
Na Andrew Chale
Maonyesho ya Tanzania Buildex Internatinal Trade Exhibition January 29 -31, yanayoendelea ndani ya ukumbi wa mikutano wa Mlimani City Conference, yanatarajia kufikia tamati jioni ya leo.
Maonyesho hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya ...
9 years ago
Dewji Blog08 Oct
PAMCA: Waendelea na mkutano wao jijini Dar es Salaam kufikia tamati leo
10 years ago
MichuziWakazi wakaskazini wanufaika na Gulio la Vodacom Tanzania
10 years ago
GPLWAKAZI WA KASKAZINI WANUFAIKA NA GULIO LA VODACOM TANZANIA
10 years ago
MichuziWAKAZI WA JIJI LA ARUSHA WAFURAHIA GULIO LA VODACOM EXPO
Amri Abeid jijini Arusha.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Srq2Q33qKIo/U6ftDaAj5xI/AAAAAAAFsZo/c3tk3kzg9FA/s72-c/unnamed+(10).jpg)
Vodacom yaleta gulio jingine la mauzo ya bidhaa za Mawasiliano
![](http://4.bp.blogspot.com/-Srq2Q33qKIo/U6ftDaAj5xI/AAAAAAAFsZo/c3tk3kzg9FA/s1600/unnamed+(10).jpg)
Kampuni ya Mawasiliano ya...
10 years ago
MichuziMICHEZO YA BANDARI “INTER-PORTS GAMES” KUFIKIA KILELE KESHO IJUMAA, DISEMBA 05 MJINI MTWARA
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI