WAKAZI WA KASKAZINI WANUFAIKA NA GULIO LA VODACOM TANZANIA
Ofisa Mauzo wa Duka la Simu la Bei nzuri la jijini Arusha, Martha Meena akitoa maelezo kwa wateja waliofika katika banda la duka hilo wakati wa gulio la punguzo kubwa la bei za bidhaa za Mawasiliano lijulikanalo kama Vodacom Expo linalofanyika siku mbili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWakazi wakaskazini wanufaika na Gulio la Vodacom Tanzania
10 years ago
GPLWAKAZI WA KIGOMA WANUFAIKA NA KAPU LA PAMOJA NA VODACOM RAMADHAN
Mkuu wa Taasisi ya Vodacom Foundation Tanzania Renatus Rwehikiza (mwenye Shati jeusi aliyeinama) na Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation Doris Mollel (aliyechuchuma) wakikabidhi msaada wa vyakula kwa Ashura Sanno mkazi wa kata ya Kasimbi Kigoma Ujiji ambaye alinufaika na msaada huo kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom kwa watu wenye kipato cha chini kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhan. Mkuu wa Taasisi ya Vodacom...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHmXNI-tCTo6OWvWFdIHN573PhVoF5E7pTzRLQdDUj4ykeZ-RNnQlwjEGXcEWz-y8jg8OhB9o3z-veEZEr7jthGMZEY-OgSH/001.jpg?width=650)
WAKAZI WA KWAMTOGOLE-TANDALE JIJINI DAR WANUFAIKA NA KAPU LA PAMOJA NA VODACOM RAMADHANI
Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Renatus Rwehikiza (kushoto) akiongozana na baadhi ya washirika wenza kutoa msaada wa vyakula mbalimbali kwa baadhi ya wakazi wa Kwamtogole –Tandale jijini Dar es Salaam kwa ajilli ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Msaada huo ulitolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Pamoja na Vodacom kwa ushirikiano na Doris Mollel Foundation. Mkazi wa Kwamtogole...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/knSjhwKOr7umonwpf6qK-vBpUhn1PymGfvRYAjp9A*CkSmC5RghBqlHDlANnBYzu8XJY4-RGo04aYa5EGUv9KTxSl*kYIxXS/001.jpg?width=650)
WAFANYAKA WA VODACOM TANZANIA WANUFAIKA NA SEMINA YA MASWALA YA UDHIBITI WA KIPATO
Mshauri wa maswala ya uchumi na fedha Consultant Service Excellence,Joy Nyabongo akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania jinsi ya kuweza kudhibiti matumizi ya kipato binafsi.Semina hiyo ilifanyika katika ukumbi wa sinema mlimani City jijini Dar es Salaam leo.…
10 years ago
MichuziWAKAZI WA JIJI LA ARUSHA WAFURAHIA GULIO LA VODACOM EXPO
Amri Abeid jijini Arusha.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
MichuziWAKAZI WA KIGOMA WANUFAIKA NA KAPU LA PAMOJA NA VODACOM RAMADHAN
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-asnk0Qv-k9I/VaLdVvcDROI/AAAAAAAHpKU/s46N6wcbhR0/s72-c/unnamed%2B%252811%2529.jpg)
WAKAZI WA KWAMTOGOLE-TANDALE JIJINI DAR WANUFAIKA NA KAPU LA PAMOJA NA VODACOM RAMADHANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-asnk0Qv-k9I/VaLdVvcDROI/AAAAAAAHpKU/s46N6wcbhR0/s640/unnamed%2B%252811%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-UMtxHmpIzuk/VaLdVzTnJKI/AAAAAAAHpKc/cmn-6MTIHSY/s640/unnamed%2B%252812%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi12 Nov
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wanufaika na semina ya maswala ya udhibiti wa kipato
![](https://3.bp.blogspot.com/-m60KLIrp3w4/VGNZ3ij8pPI/AAAAAAAGwwE/sW8qXx7uIwU/s640/unnamed%2B(78).jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-php_iLaKRrQ/VGNZ3hGjDMI/AAAAAAAGwv8/dJFoAhiT_CY/s640/unnamed%2B(79).jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-D73aECnDbIg/VGNZ3luEWWI/AAAAAAAGwwA/kHlrbn1JnbE/s640/unnamed%2B(80).jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-DpT3cMBet8w/VGNZ44aFsuI/AAAAAAAGwwQ/2BMKe_0K3fU/s640/unnamed%2B(81).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7X1wIOHFtryWPusUtX3eosXsLBRV3ICYjRt2IqiXS8WC0xkUkDDfZHqbiSyx9AXitACnfMJEtFn8VWGda1h1fz-F09G52Uww/3001.BAGAMOYO.jpg?width=650)
VODACOM WASOGEZA HUDUMA KWA WAKAZI WA MJI WA KIHISTORIA WA BAGAMOYO
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi (katikati) akiagana na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia (kulia) mara baada ya kuzindua duka jipya la kampuni hiyo lililopo barabara ya soko jipya Bagamoyo mjini mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa kampuni hiyo Upendo Richard.… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10