Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKAZI WA KIGOMA WANUFAIKA NA KAPU LA PAMOJA NA VODACOM RAMADHAN‏

Mkuu wa Taasisi ya Vodacom Foundation Tanzania Renatus Rwehikiza (mwenye Shati jeusi aliyeinama) na Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation Doris Mollel (aliyechuchuma) wakikabidhi msaada wa vyakula  kwa Ashura Sanno mkazi wa kata ya Kasimbi Kigoma Ujiji ambaye alinufaika na msaada huo kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom kwa watu wenye kipato cha chini kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhan. Mkuu wa Taasisi ya Vodacom...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA KIGOMA WANUFAIKA NA KAPU LA PAMOJA NA VODACOM RAMADHAN

Mkuu wa Taasisi ya Vodacom Foundation Tanzania Renatus Rwehikiza (mwenye Shati jeusi aliyeinama) na Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation Doris Mollel (aliyechuchuma) wakikabidhi msaada wa vyakula kwa Ashura Sanno mkazi wa kata ya Kasimbi Kigoma Ujiji ambaye alinufaika na msaada huo kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom kwa watu wenye kipato cha chini kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhan.Mkuu wa Taasisi ya Vodacom Foundation Tanzania Renatus Rwehikiza (wa tatu kushoto) na Mkuu wa...

 

10 years ago

GPL

WAKAZI WA KWAMTOGOLE-TANDALE JIJINI DAR WANUFAIKA NA KAPU LA PAMOJA NA VODACOM RAMADHANI‏

Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Renatus Rwehikiza (kushoto) akiongozana na baadhi ya washirika wenza kutoa msaada wa vyakula mbalimbali kwa baadhi ya wakazi wa Kwamtogole –Tandale jijini Dar es Salaam kwa ajilli ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Msaada huo ulitolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Pamoja na Vodacom kwa ushirikiano na Doris Mollel Foundation. Mkazi wa Kwamtogole...

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA KWAMTOGOLE-TANDALE JIJINI DAR WANUFAIKA NA KAPU LA PAMOJA NA VODACOM RAMADHANI

  Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Renatus Rwehikiza (kushoto) akimkabidhi Fatuma Khamis mkazi wa Kwamtogole – Tandale jijini Dar es Salaam (wa tatu toka kushoto) mfuko wa maharage ikiwa ni moja kati ya vyakula mbalimbali alivyokabidhiwa ikiwa ni msaada ulitolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Pamoja na Vodacom kwa ushirikiano na Doris Foundation. Wanaoshuhudia Grace Lyon (kulia) na Doris Mollel (wa pili toka kushoto). Baadhi ya wakazi wa Kwamtogole – Tandale...

 

10 years ago

GPL

WAKAZI WA KASKAZINI WANUFAIKA NA GULIO LA VODACOM TANZANIA‏

Ofisa Mauzo wa Duka la Simu la Bei nzuri la jijini Arusha, Martha Meena akitoa maelezo kwa wateja waliofika katika banda la duka hilo wakati wa gulio la punguzo kubwa la bei za bidhaa za Mawasiliano lijulikanalo kama Vodacom Expo linalofanyika siku mbili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.…

 

10 years ago

Michuzi

Wakazi wakaskazini wanufaika na Gulio la Vodacom Tanzania

 Afisa Mauzo wa Duka la Simu la Bei nzuri la jijini Arusha,Martha  Meena akitoa maelezo kwa wateja waliofika katika banda la duka hilo  wakati wa gulio la punguzo kubwa la bei za bidhaa za Mawasiliano   lijulikanalo kama Vodacom Expo linalofanyika siku mbili katika uwanja wa Sheakh  Amri Abeid jijini Arusha. Afisa huduma kwa wateja wa Duka la  Vodacom jijini Arusha,Samya Ulimwengu  akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliofika katika banda lao   kujipatia huduma za mawasiliano ambazo...

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKA WA VODACOM TANZANIA WANUFAIKA NA SEMINA YA MASWALA YA UDHIBITI WA KIPATO‏

Mshauri wa maswala ya uchumi na fedha Consultant Service Excellence,Joy Nyabongo akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania jinsi ya kuweza kudhibiti matumizi ya kipato binafsi.Semina hiyo ilifanyika  katika ukumbi wa sinema mlimani City jijini Dar es Salaam leo.…

 

10 years ago

GPL

VODACOM WASOGEZA HUDUMA KWA WAKAZI WA MJI WA KIHISTORIA WA BAGAMOYO‏

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi (katikati) akiagana na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia (kulia) mara baada ya kuzindua duka jipya la kampuni hiyo lililopo barabara ya soko jipya Bagamoyo mjini mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa kampuni hiyo Upendo Richard.… ...

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAFUTURU KWA PAMOJA NA WATOTO YATIMA WA MWANDALIWA BUNJU JIJINI DAR‏

Mmoja wa watoto anaelelewa katika kituo cha yatima cha  Mwandaliwa Islamic kilichopo  Bunju jijini Dar es Salaam,Asha Ramadhan,akihudumiwa futari na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakati walipokwenda kufutulisha futari   watoto hao wa kituo hicho jana.
Ofisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Harriet Lwakatare akimmiminia uji Ali Shaban (3) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo...

 

11 years ago

GPL

WAKAZI WA JIJI LA DAR WAOMBA VODACOM EXPO IFANYIKE MARA MBILI KWA MWAKA‏

Kundi la TMK Dancers wakiburudisha wateja waliojitokeza katika gulio la Vodacom Expo lililofanyika katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.Gulio hilo liliandaliwa na Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa kampuni za mawasiliano liliwapatia wateja wake fursa ya kununua  bidhaa za mawasiliano kwa punguzo la bei kwa siku mbili mfululizo.…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani