MICHEZO YA MEI MOSI YAPAMBA MOTO CCM KILUMBA, MWANZA
Timu ya Wanaume Wavuta Kamba wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakivutana na Timu pinzani ya Uchukuzi (hawapo pichani) wakati wa fainali ya michezo ya Mei Mosi iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa CCM Kilumba Mkoani Mwanza leo. Timu ya Wanawake Wavuta Kamba wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakipambana na Timu pinzani ya Uchukuzi (hawapo pichani) wakati wa fainali ya michezo ya Mei Mosi iliyofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza leo. Meneja wa Timu za Michezo ya Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Suleman Kifyoga (wa kwanza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi10 Apr
5 years ago
MichuziTAKUKURU MWANZA KUBAINI MAMLUKI MICHEZO YA MEI MOSI
Wajumbe wa Kamati ya Michezo ya mashindano ya Mei Mosi wakiwa kwenye kikao cha Kwanza cha maandalizi ya michezo hiyo kilichofanyika mwishoni mwa wiki kwenye ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) mkoani Morogoro.Katibu Mkuu wa Kamati ya Michezo ya mashindano ya Mei Mosi, Moshi Makuka (aliyenyoosha mikono) ...
10 years ago
MichuziWALIMU KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI UWANJA WA CCM KIRUMBA JIJINI MWANZA
11 years ago
Dewji Blog01 May
Sherehe za Mei Mosi Mwanza zafana
Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo yalihitimishwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
Wafanyakazi wa Mkemia Mkuu wa Serikali wakiingia uwanjani CCM Kirumba Mwanza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza.
Wafanyakazi wa Idara ya Maliasili wakiingia uwanjani CCM Kirumba katika kuhitimisha siku ya wafanyakazi..
11 years ago
MichuziAICC YAENDELEA KUWAKILISHA KATIKA MICHEZO YA MEI MOSI MJINI MOROGORO
11 years ago
MichuziSHEREHE ZA MEI MOSI ZAFANA JIJINI MWANZA
10 years ago
Vijimambo30 Apr
NHC YANG'ARA MAONESHO YA MEI MOSI JIJINI MWANZA
11 years ago
GPLSHEREHE ZA MEI MOSI MWANZA WAFANYAKAZI WAOMBA KODI IPUNGUZWE
10 years ago
Michuzi
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10