Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Michuano ya Kriket Tanzania ni Alhamisi

Timu za taifa za kriketi kutoka nchi za Kenya, Uganda na Namibia zitawasili Tanzania Alhamisi hii kwa ajili ya michuani ya ligi ya ICC-Afrika Division 1.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Uganda na Tanzania kuchuana :kriket

Tanzania kucheza na Uganda katika mechi ya ufunguzi ya michuano ya Afrika Ligi Daraja la 1 itakayofanyika mjini Benoni .

 

10 years ago

BBCSwahili

Kriket: Tanzania hoi kwa Kenya

Wenyeji Tanzania wameshindwa kutamba mbele vijana wenzao wa Kenya baada ya kupokea kichapo kwa kufungwa kwa mikimbio 54 kwa 49.

 

10 years ago

BBCSwahili

Michauno ya vijana Kriket yashika kasi

Michuano ya kriket kwa vijana chini ya umri wa miaka 19 kuendela kutimua vumbi Jijin Dar es Salaa, Tanzania.

 

10 years ago

Dewji Blog

Timu ya Kriket chini ya udhamini wa Fastjet

Moja

Wachezaji wa timu ya Kriket ya Uganda wenye umri wa chini ya miaka 19 wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (juzi) kutokea Kampala, Uganda kwa ziara ya siku tano ya mchezo huo hapa nchini chini ya udhamini wa Kampuni ya ndege ya Fast Jet.

Mbili

Wachezaji wa timu ya Kriket ya Uganda wenye umri wa chini ya miaka 19 wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (juzi)kutokea Kampala, Uganda kwa ziara ya siku tano ya mchezo huo hapa nchini chini ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania na michuano kanda ya 5 Afrika

Tanzania yachagua timu kuzikabili nchi nyingine za Afrika katika wavu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Michuano ya Tennis kuanza Tanzania

Michuano ya Tennis kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 16 Afrika Mashariki kuanza jijini Dar es Salaam huku timu 8 zikishiriki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani