MICHUZI MEDIA GROUP PRODUCTIONS
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-QZUZBL2xztc/U8G2ctFRj6I/AAAAAAAF1tg/zV8xFZPWvtw/s72-c/2014-07-13+00.03.06.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ofsPruFAzHs/VIFkzk0kX-I/AAAAAAAG1XI/CIiK7gly-x8/s72-c/unnamed.jpg)
TAHADHARI KUTOKA MICHUZI MEDIA GROUP.
![](http://3.bp.blogspot.com/-ofsPruFAzHs/VIFkzk0kX-I/AAAAAAAG1XI/CIiK7gly-x8/s1600/unnamed.jpg)
MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA MICHUZI MEDIA GROUP (MMG) ANAPENDA KUTAHADHARISHA WADAU POPOTE WALIPO KUHUSIANA NA UJUMBE (PICHANI) AMBAO UPO KWENYE FACE BOOK NA HATA KWENYE TWITTER) KWAMBA UJUMBE HUO HAUHUSIANI KWA LOLOTE NA ANKAL MUHIDIN ISSA MICHUZI, WALA MMG AMA WAKALA WAKE.
HIVYO TUNAWASIHI TUSIHUSISHWE NAYO NA PIA TUNAWAOMBA KUWA MACHO NA MAMBO KAMA HAYA,MAANA ULAGHAI NA UTAPELI MITANDAONI NI MWINGI MNO.
AHSANTENI SANA
ANKAL
10 years ago
MichuziSalumu "Manywele" wa Michuzi media group na Kurthum Wameremeta
10 years ago
Vijimambosherehe ya salum na kuruthum [picha na michuzi media group]
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_7cPjiYTpvo/U72ZmfkVmHI/AAAAAAAF0OU/b2JvFt8jZQI/s72-c/unnamed+(54).jpg)
viwalo vipya vya Michuzi Media Group kutoka kitaa wear
![](http://4.bp.blogspot.com/-_7cPjiYTpvo/U72ZmfkVmHI/AAAAAAAF0OU/b2JvFt8jZQI/s1600/unnamed+(54).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-pm-OzfKOJhM/U72Zm_hKMTI/AAAAAAAF0Og/z0OzDYkZdCU/s1600/unnamed+(55).jpg)
KITAA WEAR In...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-6nW5PgR5zYU/VNu6xfsQB7I/AAAAAAAHDJ4/grqsimpzOFQ/s72-c/DSCF3912.jpg)
Mdau Cheif Issa Kipande azuru Ofisi za Michuzi Media Group
![](http://3.bp.blogspot.com/-6nW5PgR5zYU/VNu6xfsQB7I/AAAAAAAHDJ4/grqsimpzOFQ/s1600/DSCF3912.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-BCFyTixwoDY/VNu6yc6I0aI/AAAAAAAHDKA/eghf8MdAQmw/s1600/DSCF3927.jpg)
10 years ago
TheCitizen05 May
Nation Media Group gets new CEO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzPfBre8N7YSp-BYISYN7AgxaxDfolKcJCZ9CEOjYEfJ4jVQQgfqsLD7oXoYQNM1U8b2dYDq*17R9VGPZtn8MHImYo-qNzmj/CloudsMedia0041.png?width=750)
10 years ago
CloudsFM20 Feb
Kusaga: Clouds Media Group haijauzwa kwa Rostam
Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga amesema kuwa Clouds Media Group haijauzwa kwa mfanyabiasha mkubwa hapa nchini,Rostam Aziz kama ambavyo taarifa hizo zilivyokuwa zimeenea kwenye mitandao ya kijamii.
Akizungumza kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo moja kwa moja kutoka nchini Dubai alisema kuwa taarifa hiyo ameisikia na kwamba amekuwa akipigiwa sana simu na wadau mbalimbali kuhusiana na habari hizo na kusema kuwa ni jinsi gani watanzania wamekuwa wakitumia...