Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


sherehe ya salum na kuruthum [picha na michuzi media group]

 sherehe imefanyika katika ukumbi wa kilimanjaro saba saba mkurugenzi wa michuzi media group akiwa na mkewe mr and mrs hamisi makuka mr and mrs mwingilikoPicha kwa hisani ya Michuzi MediaKwa picha zaidi bofya soma zaidimr and mrs michuzi wakiwa pamoja na wafanyakazi wa michuzi media group mrs makuka akiwa na maharus wachapakazi wakiwa ndan ya suti leo wamegoma kushika kamera wachapakazi wa michuzi media group mkueugenzi alistide akifuatilia mitambo harusi ya manywele iende vizuri mc elen...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

TAHADHARI KUTOKA MICHUZI MEDIA GROUP.


MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA MICHUZI MEDIA GROUP (MMG) ANAPENDA KUTAHADHARISHA WADAU POPOTE WALIPO KUHUSIANA NA UJUMBE (PICHANI) AMBAO UPO KWENYE FACE BOOK NA HATA KWENYE TWITTER) KWAMBA UJUMBE HUO  HAUHUSIANI KWA LOLOTE NA ANKAL MUHIDIN ISSA MICHUZI,  WALA MMG AMA WAKALA WAKE. 

HIVYO TUNAWASIHI TUSIHUSISHWE NAYO NA PIA TUNAWAOMBA KUWA MACHO NA MAMBO KAMA HAYA,MAANA ULAGHAI NA UTAPELI MITANDAONI NI MWINGI MNO.

AHSANTENI SANA
ANKAL

 

10 years ago

Michuzi

Salumu "Manywele" wa Michuzi media group na Kurthum Wameremeta

 Mfanyakazi wa Michuzi Media Group Bw. Salumu Mwingiriko a.k.a Manywele akifungua dansi na mkewe Kurthum Abubakar usiku wa kuamkia leo katika sherehe ya kumeremeta kwao iliyofana sana katika ukumbi wa Kilimanjaro katika Uwanja wa Sabasaba jijini Dar es salaam Ankal na mai waifu wake wakipokea keki toka kwa maharusi kwa niaba ya wafanyakazi wa Michuzi Media Group Picha ya pamoja na maharusi. Kulia ni Hamisi Makuka mpiga picha wa MMGMaharusi wakiserebuka kwa furaha. Kuona mapicha zaidi ya...

 

11 years ago

Michuzi

viwalo vipya vya Michuzi Media Group kutoka kitaa wear

 Baada ya kuvutiwa na ubunifu wa wajasiriamali vijana wa Kitanzania wanaokwenda kwa jina la KITAA WEAR Michuzi Media  Group chini ya Ankal imeona ni vyema kuwaunga mkono kwa kuweka oda kubwa ya T-shirts kwa ajili ya timu yake pamoja na wadau wa Globu ya Jamii na Michuzi TV. Wadau wengi wanavaa Kitaa Wear wakiwemo Diamond, Fid Q na mastaa wengine kibao. Kama umependezwa angalia maelezo hapo chini. Jamaa wako sharp na very professional. Siku nne tu mzigo tayari... KAZI KWAKO!
KITAA WEAR In...

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Cheif Issa Kipande azuru Ofisi za Michuzi Media Group

 Mdau mkubwa wa libeneke la Globu ya Jamii,Cheif Issa Kipande "Cheif Issa" (pili kulia) akiwa na kikosi kazi ya Michuzi Media Group wakati alipotembelea ofisi hizo zilizopo kwenye Jengo la Palm Residency (jirani na hospitali ya Ocean Road) Jijini Dar es saalam leo. Cheif Issa yupo nchini kwa mapunziko mafupi na siku si nyingi atarejea nyumbani kwake nchini Sweden.Wengine pichani toka kushoto ni Othman Michuzi,Ahmad Michuzi na Jonathan Msei a.k.a Gia Kubwa.Hapa Cheif Issa akiwa na...

 

9 years ago

Vijimambo

MIAKA 10 YA MICHUZI BLOG MJUE MICHUZI ALIKOTOKEA NA UPIGAJI PICHA


Hii Video ililekodiwa mwaka 2011 ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC

 

10 years ago

AllAfrica.Com

Women Like Ambassador Amina Salum Ali Deserve Space in Our Media


Women Like Ambassador Amina Salum Ali Deserve Space in Our Media
AllAfrica.com
Ms Amina Salum Ali is the current African U n i o n Ambassador to the United States. As the African Union's first female ambassador, this Zanzibar-born lady is committed to promoting women's rights and children's issues. She is the founder of the Zanzibar ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani