MIKUTANO YA MH. TUNDU LISSU NA MH SALUM MWALIM KANDA YA ZIWA
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar Salum Mwalim akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika hivi karibuni mjini Magu, mkoani Mwanza, ikiwa ni sehemu ya mfululizo wa mikutano ya chama kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kujiandaa kupiga kura uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu.Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu akihutubia mkutano wa hadhara...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima31 Aug
Salum Mwalim ajitosa CHADEMA
MWANAHABARI Salum Mwalim, amejitosa kugombea ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia nafasi za Zanzibar. Mwalim ambaye kwa sasa ni Meneja Uhusiano wa nje wa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-nMLRpERHWfk/VWwOubSwRxI/AAAAAAAAQJc/ORX7BznU9Tw/s72-c/E86A8710%2B%2528800x533%2529.jpg)
NAIBU KATIBU MKUU CHADEMA,ZANZIBAR SALUM MWALIM ATUNUKU VYETI KWA WANACHAMA WA CHASO MKOA WA KILIMANJARO
![](http://4.bp.blogspot.com/-nMLRpERHWfk/VWwOubSwRxI/AAAAAAAAQJc/ORX7BznU9Tw/s640/E86A8710%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-_XIiHO4JWXc/VWwO6ccI90I/AAAAAAAAQLM/HlX3PWk2LXU/s640/E86A8760%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-IOA0cKEpUWA/VWwOyhmLyII/AAAAAAAAQKA/B4sfgy9GrOo/s640/E86A8714%2B%2528800x533%2529.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bTQ94SQ5wOKHrXcHg31XWc8CTsVuMwjNHW*jW1v5rjxBXWEHYUS*H1EMukTSOwII9yuZJPCGDsx0u70k9WwvTRBPrHXJ78Fs/lissu.jpg?width=650)
Tundu Lissu…
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Tundu Lissu awalipua mgambo
MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema anachukizwa na mgambo kuchangisha fedha za michango mbalimbali bila ya kujali kuwa wanazidisha umaskini kwa wananchi. Aidha, alisema kuwa serikali imekuwa...
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Tundu Lissu atikisa Bunge
11 years ago
GPL16 Apr
10 years ago
GPLTUNDU LISSU ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE
9 years ago
Vijimambo02 Sep
TUNDU LISSU AJIBU SHUTUMA ZA DR. SLAA
10 years ago
Mwananchi22 Mar
Tundu Lissu apambana dakika 125