Miliband ataka mageuzi chama cha Labour
Wanachama wa Labour wanatarajia kuyapigia kura mapendekezo ya kufanyika mageuzi ndani ya chama hicho
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziCHAMA CHA NCCR-MAGEUZI WAPO TEYARI KUSHIRIKIANA NA CHAMA CHOCHOTE KATIKA UCHAGUZI WA 2020
Na Avila Kakingo, Globu ya JamiiCHAMA cha NCCR-Mageuzi kipo tayari kushirikiana na chama chochote kwa kuzingatia maslahi ya mapana ya Tanzania nakuzingatia utaratibu unaokubalika kikatiba na kisheria katika mchakato wote wa kushiriki uchaguzi Mkuu wa 2020.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia jijini Dar es Salaam leo wakati akizungumza na waandishi wa...
9 years ago
VijimamboHALI YA SINTOFAHAMU YAENDELEA KUTAWALA NDANI YA CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI
10 years ago
MichuziMBUNGE JAMESN MBATIA AWASHUKURU WANANCHI JIMBO LA VUNJO KUKIUNGA MKONO CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-LRygVDv2v1k/VbshlAfA8GI/AAAAAAAC9HQ/q5WA-2_UKC4/s72-c/20150731001752%2B%25281%2529.jpg)
MHE.DAVID KAFULILA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE TENA KATIKA JIMBO LA KIGOMA KASINI KUPITIA CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI
![](http://2.bp.blogspot.com/-LRygVDv2v1k/VbshlAfA8GI/AAAAAAAC9HQ/q5WA-2_UKC4/s640/20150731001752%2B%25281%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-1EbRIC714rs/VbshkxylXSI/AAAAAAAC9HY/aRKslwIemZk/s640/20150731001752.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-CDOdbBx4crA/VbshlrvvdJI/AAAAAAAC9HU/QQsvFOWIFjI/s640/20150731001754.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-vhcWFlabuSI/Vbshmm347FI/AAAAAAAC9Hc/XIiioSl_OPw/s640/20150731001757.jpg)
10 years ago
VijimamboMBUNGE JAMES MBATIA AWASHUKURU WANANCHI JIMBO LA VUNJO KUKIUNGA MKONO CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
MBUNGE WA CHADEMA ARUMERU MASHARIKI JOSHUA NASSARI ASHIRIKI
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Joshua Nassari akiwasili katika mkutano huo.
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki ,Ndolakindo Kessy akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Ghalani ,mji mdogo wa Himo ,mkutano uliokuwa na lengo la kuwashukuru wananchi wa Jimbo la Vunjo kukipa chama hicho viti vingi katika uchaguzi wa serikali za Mitaa,vijiji na Vitongoji.![](http://1.bp.blogspot.com/-i8QRNDG69Q4/VL0Ffoqcz9I/AAAAAAADMGo/PK1InGULVPw/s1600/DSCF9523.JPG)
Mh Nassari na Mh Mbatia wakitoa salamu kwa mamia...
10 years ago
MichuziUJUMBE WA CHAMA CHA FRELIMO CHA MSUMBIJI WAKUTANA NA BAADHI YA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Niyonzima ataka mageuzi ya kikosi
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Rwanda, Haruna Niyonzima, anayechezea timu ya Yanga, ametaka kuwapo umoja na mshikamano kati ya viongozi na wanachama kwa maslahi ya klabu hiyo kisoka na kiuchumi. Niyonzima,...
9 years ago
BBCSwahili25 Sep
Maafa Mecca: Mfalme ataka mageuzi hijja
Mfalme Salman wa Saudi Arabia ametoa agizo la kupitiwa upya kwa masuala ya hija baada ya watu zaidi mia saba kufariki kutokana msongamano nje ya msikiti wa Macca.
10 years ago
Vijimambo21 Feb
Wabunge NCCR-Mageuzi wakanusha kutaka kukihama chama
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/kafulilas-feb21-2015.jpg)
Wabunge wawili wa chama cha NCCR-Mageuzi, wamekanusha kuwa na mkakati wa kukihama chama hicho na kwenda kujiunga na chama cha ACT-Tanzania.
Wakizungumza jijini Dar es Salaam jana, wabunge hao David Kafulila (Kigoma kusini) na Felix Mkosamali (Muhambwe), walisema taarifa iliyotolewa na kiongozi mmoja wa ACT kwamba wanataka kuchukua hatua hiyo ni njia ya kujitangaza kupitia wao.
Mkosamali alisema binafsi amezisikia taarifa za yeye kuhusishwa kuhama chama hicho, lakini amelipuuza...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania