Niyonzima ataka mageuzi ya kikosi
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Rwanda, Haruna Niyonzima, anayechezea timu ya Yanga, ametaka kuwapo umoja na mshikamano kati ya viongozi na wanachama kwa maslahi ya klabu hiyo kisoka na kiuchumi. Niyonzima,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili25 Sep
Maafa Mecca: Mfalme ataka mageuzi hijja
11 years ago
BBCSwahili01 Mar
Miliband ataka mageuzi chama cha Labour
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Mnyika ataka vuguvugu la mageuzi lijikite Moshi Mjini
9 years ago
VijimamboALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI ASEMA TARARIBU ZA KUNING'OA NAFASI YANGU ZILIKIUKWA NA NCCR -MAGEUZI
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,Letcia Mosore (katikati)akizungumza na waandishi wa (habari hawapo pichani) juu ya ukiukaji wa katiba ya chama hicho kumvua madaraka iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwakilishi NCCR-Mageuzi ,Hamlyn Erasto,Kushoto ni Kamishina Mkoa wa Ruvuma,Mchatta Mchatta.Baadhi ya waandishi wakiwa katika mkutano huo.
Na Chalila KibudaAALIYEKUWA Makamu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Letcia Mosore amesema kuwa taratibu za kumvua nafasi...
9 years ago
Habarileo18 Dec
Niyonzima asimamishwa
UONGOZI wa Yanga umemsimamisha kiungo wake Haruna Niyonzima kwa muda usiojulikana. Niyonzima ambaye ni raia wa Rwanda alichelewa kuungana na wenziwe baada ya kutoka mapumziko bila kutoa taarifa zozote mpaka juzi aliporudi akiwa amefunga bandeji ngumu (P.O.P) mguuni kwa madai aliumia kwenye michuano ya Kombe la Chalenji Ethiopia alipokuwa akiichezea timu yake ya taifa.
10 years ago
TheCitizen18 Sep
Yanga stronger than ever, says Niyonzima
9 years ago
Habarileo29 Dec
Niyonzima kwaheri Yanga
KLABU ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na mchezaji wake Haruna Niyonzima baada ya kudaiwa kuvunja sheria na taratibu za muajiri wake. Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Jerry Muro kwa vyombo vya habari jana, Niyonzima pia atatakiwa kuilipa klabu hiyo dola za Marekani 71,175 kufidia gharama ambazo imezitumia katika kumuongezea mkataba wake mpaka mwaka 2017.
9 years ago
Habarileo15 Dec
Niyonzima aichefua Yanga
KOCHA wa Yanga, Hans Pluijm amesema amekasirishwa na kitendo cha mchezaji wake Haruna Niyonzima kuchelewa kuungana na wenzake kwa ajili ya michezo ya ligi huku akishindwa kabisa kutoa sababu zilizomfanya kuchelewa huko.
11 years ago
TheCitizen27 Jul
We still have a chance, says skipper Niyonzima