Niyonzima asimamishwa
UONGOZI wa Yanga umemsimamisha kiungo wake Haruna Niyonzima kwa muda usiojulikana. Niyonzima ambaye ni raia wa Rwanda alichelewa kuungana na wenziwe baada ya kutoka mapumziko bila kutoa taarifa zozote mpaka juzi aliporudi akiwa amefunga bandeji ngumu (P.O.P) mguuni kwa madai aliumia kwenye michuano ya Kombe la Chalenji Ethiopia alipokuwa akiichezea timu yake ya taifa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Niyonzima asimamishwa Yanga, akatwa mshahara
Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima.
KIUNGO wa Yanga SC, Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima atapokea nusu mshahara kwa muda usiojulikana, baada ya kusimamishwa na uongozi wa klabu hiyo kwa utovu wa nidhamu.
Katibu Mkuu wa Yanga SC, Dk. Jonas Tiboroha amesema kwamba, klabu imemsimamisha Niyonzima kwa muda usiojulikana baada ya kurudia kuchelewa kujiunga timu kufuatia ruhusa maalum.
Dk Tiboroha amesema uamuzi huo umefikiwa na kikao cha Kamati ya Mashindano, chini ya Mwenyekiti wake, Isaac...
10 years ago
Mtanzania14 Jan
Mwenyekiti ACT asimamishwa
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
HALMASHAURI Kuu ya Chama cha Alliance for Transparent (ACT), imemsimamisha uongozi Mwenyekiti wa Taifa wa muda wa chama hicho, Kadawi Limbu, na kumwondoa katika nafasi yake aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Leopold Mahona kwa makosa ya kinidhamu.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa muda wa chama hicho, Samson Mwigamba, alisema hatua hiyo imekuja baada ya kamati maalumu ya kuchunguza masuala ya kinidhamu kujiridhisha kuwa kitendo alichofanya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGhaQe0o0DSiZyCoYOXmcRx5KaDN9SfoRwaFYDOee-iOieM7F4R7M0KwCequN8cj9JM-RILghprsgEi5jDsl21FqB9kBh9xC/KIUNGOCHIJI.jpg?width=650)
Chuji asimamishwa Yanga
9 years ago
Habarileo17 Dec
Mkurugenzi Kinondoni asimamishwa
KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Jumanne Sagini amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara, Mussa Natty.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7LsDSQGvwHVyH1wI3pQJG9OVllH2-tBVRYdtkoGls3p4oVhM-Dyy1Ly6Ia*79**DfzeI79Ahw3g*d2*mG3pPSlz1/ZZIWA.jpg)
SPIKA MARGARET ZZIWA ASIMAMISHWA
10 years ago
Tanzania Daima28 Oct
Mkandarasi asimamishwa kujenga maabara
KAMPUNI ya UK General Services, imesimamishwa kuendelea na ujenzi wa maabara katika shule ya Sekondari ya Mbugani kutokana na kushindwa kukidhi vigezo. Akizungumza jijini hapa jana, Mjumbe wa Kamati ya...
10 years ago
Habarileo14 Jan
Limbu asimamishwa uenyekiti ACT
CHAMA cha ACT-Tanzania kimemsimamisha aliyekuwa Mwenyekiti wake wa muda, Kadawi Limbu na kumwondoa katika nafasi yake ya Naibu Katibu Mkuu, Leopold Mahona kutokana na makosa mbalimbali waliyoyafanya ndani ya chama hicho.
10 years ago
BBCSwahili23 Dec
Ufisadi: mwingine asimamishwa Tanzania
10 years ago
Habarileo17 Feb
Bosi wa Bandari asimamishwa kazi
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande kutokana na kile kilichoelezwa kuwa uendeshaji mbovu wa utoaji wa zabuni.