Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Limbu asimamishwa uenyekiti ACT

Katibu Mkuu wa ACT, Samson MwigambaCHAMA cha ACT-Tanzania kimemsimamisha aliyekuwa Mwenyekiti wake wa muda, Kadawi Limbu na kumwondoa katika nafasi yake ya Naibu Katibu Mkuu, Leopold Mahona kutokana na makosa mbalimbali waliyoyafanya ndani ya chama hicho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mwenyekiti ACT asimamishwa

LIMBUNa Aziza Masoud, Dar es Salaam
HALMASHAURI Kuu ya Chama cha Alliance for Transparent (ACT), imemsimamisha uongozi Mwenyekiti wa Taifa wa muda wa chama hicho, Kadawi Limbu, na kumwondoa katika nafasi yake aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Leopold Mahona kwa makosa ya kinidhamu.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa muda wa chama hicho, Samson Mwigamba, alisema hatua hiyo imekuja baada ya kamati maalumu ya kuchunguza masuala ya kinidhamu kujiridhisha kuwa kitendo alichofanya...

 

10 years ago

Vijimambo

MAHAKAMA YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA LIMBU

MWIGAMBA.jpg
Pichani ni Kadawi Limbu (kulia) akiwa na Samson Mwigamba
Leo Mahakama Kuu kanda ya Dar, Itasikiliza Kwa Mara ya kwanza Ombi la Kadawi Limbu, Ambye Ni Mwenyekiti wa Muda wa ACT-TANZANIA Dhidi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho, Ndugu Samson Mwigamba.

Shauri hilo ni namba 17 la Mwaka 2015, Katika Maombi yake kwa Mahakama Ndugu Limbu Anataka Mahakama Imzuie Mwigamba na Wenzie kujihusisha na ACT, Maombi Mengine nikutaka Mahakama kuzuia Mkutano Mkuu wa Chama hicho unaotarajiwa kufanyika Mwishoni Mwa...

 

9 years ago

Habarileo

Niyonzima asimamishwa

UONGOZI wa Yanga umemsimamisha kiungo wake Haruna Niyonzima kwa muda usiojulikana. Niyonzima ambaye ni raia wa Rwanda alichelewa kuungana na wenziwe baada ya kutoka mapumziko bila kutoa taarifa zozote mpaka juzi aliporudi akiwa amefunga bandeji ngumu (P.O.P) mguuni kwa madai aliumia kwenye michuano ya Kombe la Chalenji Ethiopia alipokuwa akiichezea timu yake ya taifa.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Bongo5

Sauti Sol waibuka ‘Best African Act’ wa MTV EMA, sasa kuwania ‘Worldwide Act’

Kundi la Sauti Sol la Kenya limewabwaga Diamond, Davido na wasanii wengine wawili wa Afrika katika kipengele cha ‘Best African Act’ cha tuzo za MTV EMA. Hata hivyo huo sio mwisho kwakuwa Sauti Sol sasa watahitaji kura za bara zima la Afrika kuwania kipengele cha ‘Worldwide Act’ Kuanzia leo, October 23, hadi 29 October wasanii […]

 

9 years ago

Habarileo

Mkurugenzi Kinondoni asimamishwa

KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Jumanne Sagini amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara, Mussa Natty.

 

11 years ago

GPL

Chuji asimamishwa Yanga

Athumani Idd ‘Chuji’ Ally Kamwe na Hans Mloli
HALI si shwari kwa baadhi ya wachezaji wa Yanga baada ya juzi Jumamosi uongozi wa timu hiyo kuwapa barua za onyo kuhusu utovu wao wa nidhamu na mambo mengine klabuni hapo. Imeelezwa kuwa, juzi kiungo wa timu hiyo, Athumani Idd ‘Chuji’, alipewa barua ya kusimamishwa klabuni hapo kwa siku zisizojulikana huku nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mkandarasi asimamishwa kujenga maabara

KAMPUNI ya UK General Services, imesimamishwa kuendelea na ujenzi wa maabara katika shule ya Sekondari ya Mbugani kutokana na kushindwa kukidhi vigezo. Akizungumza jijini hapa jana, Mjumbe wa Kamati ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani