MIMBA HAIJANIBADILI TABIA
Msanii wa filamu za Kibongo Aunty Ezekiel ‘Mama Kijacho’.
Na Laurent Samatta/Uwazi HUKU kukiwa na tabia kuwa baadhi ya wanawake wanapokuwa wajawazito wanakuwa na tabia za kusumbua na kubagua baadhi ya vitu, msanii wa filamu za Kibongo Aunty Ezekiel ‘Mama Kijacho’, amesema kwa upande wake yuko vile vile na wala hajabadilika.Akimwaga ‘ubuyu’ na Uwazi, Aunty alisema kuwa haoni kama amebadilika kitabia au kuwa msumbufu bali anajiona yupo kawaida ingawa mara nyingine anakuwa anachoka sana.
“Mimba...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FXkXptW89jIbSVNYRVv21yuW7krFTe6*6yBYHQxlWhrnmW6CmbtTgPmqstfhZhp2f8ZudhaKulKIm04d1PDv73qRObjk3HyS/aunty.jpg)
AUNTY: MIMBA HAIJANIBADILI TABIA
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-L7eHoLjJoWo/VTIF5SYWISI/AAAAAAAAsGU/by7DGbbHtLU/s72-c/wema%2B%284%29.jpg)
NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU YA KANUMBA KWA VILE NILIKUWA MDOGO SANA, WANAO SEMA NIMETOA MIMBA NYINGI NI WAONGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-L7eHoLjJoWo/VTIF5SYWISI/AAAAAAAAsGU/by7DGbbHtLU/s640/wema%2B%284%29.jpg)
Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu...