MIMBA KUYEYUKA (BLIGHTED OVUM) INATOKEAJE?
![](http://api.ning.com:80/files/P1afYajBhxBpVOVbAZ5O-ScxLey6SCYOy12QBFruInCuK26*cnvI2tNdVCN2mO1mWO5-i4iJEqNuweeoj9TBy*lwigiX2Q9C/WindeiBlightedOvumEchometlegevruchtzakinbaarmoeder.jpg?width=650)
TATIZO hili pia huitwa ‘anembryonic gestation’. Hutokea pale mfuko wa mimba unapoendelea kukua bila ya kuwa na mtoto ndani. Kifuko cha mimba huitwa ‘gestational sac’ na mtoto ni ‘embryo’. HALI HALISI Mwanamke anakuwa mjamzito ambapo ana dalili zote za ujauzito na katika wiki sita za mwanzo akifanya Ultrasound mtoto anaweza kuonekana lakini baada ya hapo dalili za mimba zinaanza kupungua...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2xPSDbl5pyizn50aI7CvjRTw4OCruhkV7EJ4SBtbY6Bk1xem85be9o0D3KY5OtjEI2jp3cskovxJ1rmr7eqeV3MUuBNyJDJe/WindeiBlightedOvumEchometlegevruchtzakinbaarmoeder.jpg?width=650)
MIMBA KUYEYUKA (BLIGHTED OVUM) INATOKEAJE?-2
Leo naendelea kuelezea tatizo la mimba kuyeyuka linalowakabili wanawake wengi.
DALILI ZA MIMBA KUYEYUKA
Dalili za mimba kuyeyuka, mwanamke katika hatua za awali anakuwa na dalili zote za ujauzito kama vile kufunga kupata hedhi ambapo anaweza kufunga hata miezi mitatu. Awali anakuwa na dalili nyingine za ujauzito kama kichefuchefu, matiti kujaa na hata kutapika, kipimo cha mkojo kwa Ultrasound kuonesha kwamba ni mjamzito,...
9 years ago
BBC21 Dec
Africa blighted by multiple Jihadist threats
Many African countries are struggling with the threat posed by fundamentalist groups and there is a great need for counterinsurgency efforts, says Tomi Oladipo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*pyb6tIrRdJ0L3Q3bKkk2W9ds2-eUmqIApIFVVx1O*hQl7VTiX*43NmOE4EDf657g5VEa3AwgYJWVXS*5zQ1iDf/vicky.jpg)
SABABU 3 NDOA YA VICKY KAMATA KUYEYUKA
Stori: WAANDISHI WETU Hadi gazeti hili linaondoka kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mkombozi, Sinza jijini Dar juzi saa 10:00 jioni, ndoa ya Mbunge Vicky Kamata iliyokuwa ifungwe hapo iliyeyuka.
Vicky Kamata ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya UVCCM, Mkoa wa Geita alikuwa afunge ndoa na mwanaume aliyejulikana kwa jina la Charles wa jijini Dar. Vicky Kamata akiwa katika pozi na mwanaume...
10 years ago
Michuzi26 Nov
DIAMOND ASEMA WASHINGTON DC ITAKUWA CRAAAAZY DEC 6 -TICKET ZINAZIDI KUYEYUKA NUNUA USIJEJILAUMU
![](https://2.bp.blogspot.com/-a2nm9Eh5bIY/VGRWzmPAtSI/AAAAAAAARa4/muzCBixvL-g/s640/INDEPENDENCE%2BBRAND%2BNEW.png)
![](https://2.bp.blogspot.com/-67s4NMv8lqA/VGRfHXpjjoI/AAAAAAAARbI/Oo_FLaKXgyM/s640/TANZANIA%2BALL%2BSTARS.jpg)
$100 (INCLUSIVE)3 COURSE DINNERBOTTLE OF CHAMPAGNE PER TABLELIVE ENTERTAINMENTCELEB AFRICA TV RED CARPET COVERAGERE KNOWN PROFESSIONAL PHOTOGRAPHER FREE PARKINGCASH BARSPONSORSHIP LEVELS STILL AVAILABLE TICKET ZINAPATIKANASAFARI RESTAURANT4306 GEORGIA AVENUE,NWWASHINGTON,DC,20011ORONLINEWWW.DIAMONDUSATOUR.COMORCALL301-661-6207 *DMK 240-603-7353*LATIFA240-764-9970*JULIA 202-830-8970*ATHUMANI 240-467-7350*HELENA ...
10 years ago
Vijimambo25 Nov
VIDEO- DIAMOND ASEMA WASHINGTON DC ITAKUWA CRAAAAZY DEC 6 -TICKET ZINAZIDI KUYEYUKA NUNUA USIJE JILAUMU !
![](https://2.bp.blogspot.com/-a2nm9Eh5bIY/VGRWzmPAtSI/AAAAAAAARa4/muzCBixvL-g/s640/INDEPENDENCE%2BBRAND%2BNEW.png)
![](https://2.bp.blogspot.com/-67s4NMv8lqA/VGRfHXpjjoI/AAAAAAAARbI/Oo_FLaKXgyM/s640/TANZANIA%2BALL%2BSTARS.jpg)
$100 (INCLUSIVE)3 COURSE DINNERBOTTLE OF CHAMPAGNE PER TABLELIVE ENTERTAINMENTCELEB AFRICA TV RED CARPET COVERAGERE KNOWN PROFESSIONAL PHOTOGRAPHER FREE PARKINGCASH BARSPONSORSHIP LEVELS STILL AVAILABLE TICKET ZINAPATIKANASAFARI RESTAURANT4306 GEORGIA AVENUE,NWWASHINGTON,DC,20011ORONLINEWWW.DIAMONDUSATOUR.COMORCALL301-661-6207 *DMK 240-603-7353*LATIFA240-764-9970*JULIA 202-830-8970*ATHUMANI 240-467-7350*HELENA ...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-L7eHoLjJoWo/VTIF5SYWISI/AAAAAAAAsGU/by7DGbbHtLU/s72-c/wema%2B%284%29.jpg)
NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU YA KANUMBA KWA VILE NILIKUWA MDOGO SANA, WANAO SEMA NIMETOA MIMBA NYINGI NI WAONGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-L7eHoLjJoWo/VTIF5SYWISI/AAAAAAAAsGU/by7DGbbHtLU/s640/wema%2B%284%29.jpg)
Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania